Kwa nini vijana huanguka kwenye uzinzi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Emmanuel Magessa
KWANINI VIJANA HUANGUKA KWENYE UZINZI..!
1. MARAFIKI WABAYA.
Ukiwa na rafiki mzinzi tegemea kuwa mzinzi, Ukiwa na rafiki mcha Mungu atakuambukiza hofu ya Mungu.
“Chuma hunoa Chuma, Ndivyo mtu Aunoavyo uso wa rafiki yake ”
Mithali 27 :17
2. CHATTING ZA NGONO.
3. MIZAHA
4. UTANDAWAZI.
5. UNGALIAJI WA PORN (PICHA ZA NGONO).
6. KUUZOELEA WOKOVU
7. KUKOSA NGUVU YA MUNGU.