Nitajuaje jinsi ya kudownload Dream League Soccer kwenye PC?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Dream League Soccer ni gemu linalopatikana katika mfumo unaoweza kufanya kazi kwenye simu tu. Ili uweze kulitumia kwenye kompyuta ni lazima kuipa uwezo wa kufanya kazi kama simu ila PC yenyewe haiwezi kucheza apps za android.
Njia itakayoweza kukufanikishia hilo ni kwa kutumia Android Emulator. Ni software ya kompyuta inayoweza kukutengenezea mazingira ukawa kama unatumia simu kupitia pc yako.
Emulator bora zaidi inaitwa BlueStacks. Cha kukumbuka ni kuwa mashine yako inabidi iwe na uwezo wa kutosha hususa ni RAM. Kama PC yako uwezo wake uko chini kidogo kuna emulator nyingine ambayo ni light kidogo inaitwa Memu
Ukishakua na moja kati ya hizo unaweza kudownload app yoyote ya android ikiwemo magemu.