Angalia hapa maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu MojaSky. Kama una maswali zaidi tumia ukurasa wa Wasiliana Nasi
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Topic gani naweza kuuliza hapa?
Topic yoyote ile, unachotakiwa kuzingatia ni kufuata tu mwongozo wetu wa ushiriki
Aina gani ya maswali natakiwa kuepuka kuyauliza?
Maswali yote yenye lengo la kumtukana au kumshambulia mtu au watu wa kundi fulani
Swali/Jibu langu limefutwa na sikubaliani na hilo, nitalirudishaje?
Hauwezi kurudisha swali au jibu lililofutwa. Swali au jibu linaweza kuondolewa kama linaenda kinyume na sheria zetu.
Nifanyeje mtu akijibu swali langu?
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia jibu la swali hilo kama linakupa suluhisho. Kama ndio up-vote hilo jibu, kama hapana down-vote na acha comment chini ya jibu hilo kufanya kile unachotaka kijulikanane
Nimepata tatizo katika tovuti, nifanyeje?
Kama una tatizo lolote na ungependa kutujulisha basi unaweza kutumia kurasa yetu ya Ripoti Tatizo