Zip code ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
ZIP(Zonal Improvement Plan) code ni mfumo wa posta wa kutambua maeneo kwa kutumia fomati ya namba(tarakimu) tano(5). Tanzania mfumo huo haujaanza kutumika rasmi licha ya mpango kuwa tayari na kuwepo kwa zip/postal kodi hizo. http://bit.ly/2YssdDE