YouTube wanalipa views ngapi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Youtube wanalipa kwa kuonesha matangazo katika video husika hivyo kwa makadirio ni kwamba video yenye views nyingi itaweza kukuongezea pesa zaidi kwa sababu kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuwafikia watu wengi.
Chanzo kimoja kinasema kwa wastani unaweza kupata $4.18 ~ Tsh 10,000 kwa kila views 1,000 za matangazo yaliyooneshwa kwenye video yako.