Youtube kuna video za ngono?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Jibu la haraka ni hapana.
Moja ya vigezo na masharti ya Youtube ni kuwa hairuhusiwi kuweka video yoyote ya ngono na kama utaweka video itafutwa ndani ya muda mfupi tu.
Youtube kuna video za ngono?
Ndio zinaweza kuwepo. Kutokana na ukweli kwamba youtube hawataki video hizo zionekane kwa kila mtu ni ngumu kuona video hizo moja kwa moja kutokea youtube, hivyo inasemekana kuwa wapo watu wanaoweka video ziwe private kisha wanatumia link hizo za private kuonesha video kwenye website zao kwa kuwa kutumia space ya Youtube kwa ajili ya video yako ni bure