Washindi wa Kili Marathon wanapata zawadi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Washindi kumi wa kwanza wanapata zawadi hizi. Hapa ni kwa washindi kumi kwa wanawake na washindi kumi kwa wanaume
Kwa washindi wa kwanza wa full marathon ambao ni watanzania (mwanamke na mwanaume) watapata Tsh 1,500,000.
Kwa Full Marathon. Medali zitatolewa kwa washindi 800 wa kwanza.
Kwa Half Marathon. Medali zitatolewa kwa washindi 5400 wa kwanza.