Vitu gani vya kuzingatia kuhusu michezo ya kubahatisha au kubeti?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Zingatia haya
Michezo ya kubashiri yapaswa kuwa jambo la kuburudisha na si kutengeneza fedha, hivyo epuka kukimbizana na hasara.
Chezea kiasi cha fedha unachoweza kumudu kukipoteza.
Fuatilia muda na kiasi cha fedha unachotumia kwenye kamari.
Lazima uwe na umri usiopungua miaka 18.