Vitu gani vya kujua kabla ya kuweka bomba la maji nyumbani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Huduma ya maji ni muhimu sana kwa maisha – tunatumia maji kwa kunywa, kunawa, kupikia na kumwagilia mimea. Bila maji mimea, wanyama na watu watakufa. Upatikanaji wa maji hutolewa na taasisi za umma, mashirika ya biashara, juhudi za jamii au watu binafsi.
Serikali kupitia tovuti yao wameweka haya wazi
Taratibu:
Gharama za uunganishaji maji.