Vifurushi vya Azam ni vipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Vifurushi vya Azam Tv na bei yake ni hivi
Azam Pure 12,000
Azam Plus 20,000
Azam Play 25,000
Azam Indian 16,000
Vifurushi vya kuongezea hi hivi;
Azam Sports 15,000
Indian Add On 6,000