Unazionaje siasa za Tanzania?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
siasa ya Tanzania ishaanza kuwa komavu kwani imeshatoka katika kuamini kuwa siasa ni kuzodoana na badala yake kuwa chombo hasa cha kukosoa ili kujenga jamii inayoamini katika misingi chanya ya kuielewa ni nini hasa maana ya siasa safi. Siasa safi ni ile inayotaka hasa maendeleo ya watu na si mtu. Tanzania imeelewa sasa kuwa siasa ni maisha na si propaganda hasi. penye siasa safi kuna maendeleo mazuri ya kiuchumi na kijamii. Na hicho ndicho kinachojidhihirisha sasa katika siasa ya sasa ya Tanzania. Mataifa mengi makubwa yamejaribu na kufanikiwa kuziangusha siasa safi za nchi nyingi za Afrika na kuwaaminisha waafrika kuwa wanatawaliwa kimabavu ili na ili tu kuleta machafuko. Tanzania iligundua hilo mara tu baada ya uongozi huu wa awamu ya tano kuingia madarakani na kanza kutoa elimu kwa wananchi wake kupitia vyombo vya habari na hata mikusanyiko ya kisiasa. I personally see Tanzania’s politics has reached to its real desirable peak. It is in our side now whether to construct it or destruct it. THANK YOU IN ADVANCE