Unatumiaje Tubemate app kudownload YouTube?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ili kupakua video kutoka YouTube, njia nyingi tunaweza kupata kwenye mtandao. Kuna zana nyingi mkondoni zinaweza kuhifadhi video ya YouTube kama video au sauti moja kwa moja. Walakini, njia hizi zitaathiriwa sana na utendaji wa Mtandaoni. Programu ya kurekodi skrini na kazi za kuhariri video itathaminiwa zaidi. Kwa mfano Renee Video Editor Pro ni moja wapo ya chaguo ninayopenda wakati ninataka kufanya kurekodi skrini kwa madarasa ya kufundisha. Inaweza kurekodi na kuashiria harakati za panya. Mbali na hilo, pia hutoa zoom ndani na nje ya kazi katika kurekodi. Pia, kazi zake za kuhariri video zilizojengwa kama kukata, kuunganisha, kujiunga kwa video, kuongeza muziki wa chini na kichwa kidogo kunisaidia kuboresha ubora wangu. Natumahi unaweza kupata rekodi inayofaa ya skrini kutoka kwenye orodha.
https://www.reneelab.com/free-record-youtube-on-pc-ios-android.html
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppFaustine John
App ya Tubemate inaweza kukurahishia swala la uhitaji wa ku-save au kudownload video yoyote ya Youtube. Unaweza ku download video katika app hii kwa kufata hatua zifuatazo.
Download app ya Tubemate katika website ya tubemate.net (App hii haipatikani katika Google Playstore)
Install app yako na kabla ya kuinstall hakikisha umeruhusu ‘apps from unknown source’
Ingia katika app hiyo ya tubemate kisha search video yoyote ya youtube unayotaka ku download(pia unaweza kuangalia kwa kutumia app hii)
Bonyeza alama ya kudownoad kama inavyoonekana katika picha hapo chini kisha chagua size ya video unayotaka(wingi wa MB unamaanisha ubora wa video unaoutaka) kisha bonyeza tena alama ya kudownload.
Video zako zitapatikana katika faili la VIDEOS katika File Manager