Unatumia njia gani ku save status ya WhatsApp?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Faustine John
Mara nyingine unaweza kuvutiwa na status ya whatsapp iliyowekwa na ndugu au rafiki na huenda ukaihitaji bila kumjulisha au kumuomba akutumie. Kwanza kabisa ni lazima uwe ume install Whatsapp katika simu yako. Kama bado soma Njia 3 za ku-install WhatsApp kwenye simu ya android
Hii ndio njia rahisi ya kuipata status hiyo bila kutokwa na jasho.
KUMBUKA
Kama ukiacha video au picha katika folder hilo hilo status hizo huwa zinafutika baada ya muda fulani.
Credit:Infondex