Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 31198
In Process
Anonymous
Asked: May 4, 20192019-05-04T09:36:55+03:00 2019-05-04T09:36:55+03:00Kompyuta

Unatatuaje tatizo la audio drivers kwenye PC?

Unatatuaje tatizo la audio drivers kwenye PC?
  • 1
  • 422
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Mugabe Abraham
    2020-11-16T15:44:10+03:00Jibu - November 16, 2020 saa 3:44 pm

    HAKIKISHA: Usifanye chochote kabla hujamaliza kusoma maelezo hayo hapo chini ili kutatua tatizo la audio driver.

    HATUA YA KWANZA; Bonyeza start na angalia sehemu ya power icon,shikilia batani ya shift kisha right kwenye power icon na bonyeza restart wakati bado umeshikilia batani ya shift. Angalia picha hapo chini.

    HATUA YA PILI;
    Windows yako lazima itafanya boot kwenye menu kama inavyoonekana hapo chini,kisha chagua “troubleshoot”

    HATUA YA TATU;
    Kompyuta yako itafunguka hapo na chagua “advanced options” Tazama picha hapo chini.

    HATUA YA NNE;
    Sasa kwa urahisi kabisa unaweza kubonyeza sehemu iliyoandikwa “restart” Tazama picha hapo chini.

    HATUA YA TANO;
    Mwisho kabisa utapata muonekano kama huu kwenye screen yako,na utabonyeza namba 7 kwenye keyboard yako na windows itajianzisha.

    MWISHO;
    Angalia kama unayo sauti kwenye kompyuta yako.

    KUMBUKA;

    Kama umesahau hizi hatua na ukafanya restart ya kompyuta yako kawaida,unaweza kushikilia batani ya shift huku kompyuta yako ikiendelea kufanya restart ya windows na ukafata hatua kama kawaida.

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Smartphone mpya ya Samsung kwa Tsh 220,000 Tu

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Nawezaje ku download app store kwenye PC?

      • Majibu 0
    • Nawezaje ku install Gmail kwenye PC?

      • Majibu 0
    • Programu nzuri ya kuedit picha kwenye PC ni ipi?

      • Majibu 2
    • Nawezaje kutumia hotspot ya simu kwenye kompyuta bila kutumia USB?

      • Majibu 0
    • Nawezaje kujua tawi la NMB Bank lililopo karibu yangu?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kupata serial number ya software yoyote?

      • Majibu 2
    • Nawezaje ku download Android Studio?

      • Majibu 0
    • Nawezaje kufuta history ya computer?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kupiga simu kwa kutumia PC?

      • Majibu 0
    • Nawezaje kudownload vitu kwenye kompyuta?

      • Majibu 0

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.