Unarekodi vipi screen ya simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
1sky
Pale unapotaka kurekodi screen yako ya simu na usijue la kufanya unaweza kuwa katika wakati mgumu. Hii ndio njia rahisi ya kuweza kurekodi screen yako bila shida yoyote. Njia hii ni kwa kutumia screen recorder
Hatua za kufata
Ingia katika app ya Google Playstore kisha tafuta app “Lollipop Screen Recorder kisha install” (Unaweza kusoma njia nyingine za ku install apps hapa)
Baada ya kudownload fungua app yako kisha bonyeza “START RECORDING”
Endelea kurekodi kwa muda unaotaka halafu angalia katika eneo la notification halafu bonyeza STOP kwa ajili ya kusimamisha/kusave video yako
Baada ya kurekodi video hizo zinapatikana katika faili la ‘ScreenRecordings’
Kupiga screenshot soma hii Njia 3 rahisi za kupiga picha screen yako (screenshot)