Unapenda kufanya nini ukiwa peke yako?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
mimi most of the time niko alone na nina enjoy, nitaangalia movies, nitasoma, nita swim na ku take a long walk on the beach on my own! Na nina furahia sana maisha, naamini usemi wa raha jipe mwenyewe. Kama una enjoy the company of me, myself and I that is totally gr8 my friend
from the internet