Unapata Sh ngapi ukiwa na subscriber 1000 Youtube?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Calvin Mlay
Kwanza kabisa inabidi ufahamu kuwa youtube haikulipi kwa kuangalia subscribers. Pia hautalipwa kwa kuangalia likes za video yako.
Kitu pekee ambacho kinahusiana na kulipwa ni views. Youtube wanalipa kwa kuonesha matangazo katika video husika hivyo kwa makadirio ni kwamba video yenye views nyingi itaweza kukuongezea pesa zaidi kwa sababu kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuwafikia watu wengi.
Subscribers wanaweza kukusaidia kuongeza views kwa sababu wale watu walio subscribe katika channel yako wataona video wakifungua tu youtube bila hata kuitafuta.
Chanzo kimoja kinasema kwa wastani unaweza kupata $4.18 ~ Tsh 10,000 kwa kila views 1,000 za matangazo yaliyooneshwa kwenye video yako.