Unamuelezeaje Diamond Platnumz
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Diamond ana kipaji. Wengi watasema kwamba ooh jamaa hana kipaji ni bahati lakini mimi nasema huyu bwana ana kipaji sana cha kuimba na zaidi ya hicho pia anajua sana kucheza
Diamond ana nidhamu. Nidhamu ninayoizungumzia apa ni nidhamu ya kazi. Anaonekana ni mtu ambaye hataki utani linapokuja swala la kazi. Anajitahidi sana na ukitaka kuhakikisha hilo angalia video zake za behind the scene.
Mengine ni kwamba ana uwezo wa biashara, ana pesa nyingi, haogopi kufata ndoto zake, anaweasaidia vijana wengine anaonekana kukomaa kaika fani yake.
Sisemi kuwa hana mapungufu, anayo mengi tu kwa sababu yeye ni binadamu kama wengine ila nimechagua kutaja sifa zile zilizo nzuri ili tujifunze kupitia hizo.