Unajua jinsi ya kutengeneza app ya biashara?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ninajua njia kadhaa zinazoweza kukusaidia kutengeneza app kwa ajili ya biashara yako.
Kwanza kabisa inabidi uwe umepanga bajeti au kiasi unachotarajia kutumia kutengeneza app yako. Kama uko na bajeti kubwa kwa ajili ya kutengeneza app nakushauri utafute wataalamu watakaoweza kukuandalia app itakayotengenezwa kitaalamu kabisa.
Kama bajeti yako ni ndogo au hauna kabisa au unahitaji kutengeneza mwenyewe kuna njia pia inaweza kufanikisha hilo bila kutumia gharama kubwa. Namaanisha kuwa unaweza tumia ‘App builders’ zinazopatikana online. Soma post hii Jinsi ya kutengeneza app ( Android application )