Unajua jinsi ya kufungua account ya Facebook?
Unajua jinsi ya kufungua account ya Facebook?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Ilikufungua account Facebook zingatia vifuatavyo
Ingia facebook.com au fungua app yako ya Facebook
Andika jina lako(Jina la kwanza na la mwisho)
Weka tarehe yako ya kuzaliwa
Weka namba yako ya simu
Chagua jinsia yako
Na mwisho kabisa andika neno lako la siri na uhakikishe unalikumbuka
Kumbuka kuwa utahitaji kukumbuka namba yako ya simu na neno la siri(password) kwa ajili ya kuingia facebook siku nyingine