Unajua jinsi ya kudownload app kwenye PC?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kama unamaanisha app kwa ajili ya PC yani labda VLC na Notepad unaweza kupata katika Store inayopatikana katika PC yako au unaweza tu tafuta google na ukapata software unayoihitaji.
Ila kama unamaanisha kudownload app za simu katika kompyuta yani apps kama WhatsApp au magemu yanayopatikana katika simu tu inatakiwa kudownload kwanza software itakayokuruhusu kutumia apps hizo inayojulikana kama emulator
Software iliyo maarufu zaidi itakayokuwezesha kufanikisha swala hilo inaitwa BlueStacks. Kama ungependa chaguo lingine lisilohitaji memory na uwezo mkubwa zaidi ya PC tumia Memu.