Unajua bei ya mashine ya kusaga?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Kuna hawa MTANGA POLYMACHINERY bei zao ziko hivi
MASHINE YA KUSAGA SIZE 50 (6mm) BILA YA MOTA 1,200,000
MASHINE YA KUSAGA SIZE 75 (6mm) BILA YA MOTA 1,670,000
MASHINE YA KUSAGA SIZE 100 (6mm) BILA YA MOTA 1,860,000
MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA AUTOMATIC – 8 – 28,500,000
MASHINE YA KUKOBOA 2 ROLA BILA YA MOTA 1,250,000
MASHINE YA KUKOBOA 3 ROLA BILA YA MOTA 1,670,000
MASHINE YA KUKOBOA 4 ROLA BILA YA MOTA 1,860,000
MASHINE YA KUSAGA KARANGA (PINAT BUTTER) 2,200,000
MASHINE YA KUSAGA CHILL SAUCE NA TOMATO SAUCE 2,380,000
MASHINE YA KUSAGA VIUNGO 1,700,000
MASHINE YA KUSAGA VIUNGO,UNGA 1,650,00
BLENDA YA LITA 10 – 570,000
Mawasiliano yao 0715329728,0767329728