Una namba ya simu ya Diamond Platnumz?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kupata namba ya Diamond haiwezi kuwa rahisi. Kama una kitu muhimu sana na unataka kuwasiliana na e nakushaui utumie mitandao yake ya kijamii kwa kumtumia message.
Facebook
Instagram na
Twitter
Kwa booking na mambo mengine ya kikazi tumia email yake bookplatnumz@gmail.com