Una message za vichekesho?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Chukua hii apa ya Mzungu na Muafrika wakiwa kwenye shamba la ndizi
Muafrica👨🏿:Vipi jamaa(katoa li hi likubwa kwa mzungu)
Mzungu👨:Safi jamaa za hapa(gafla akapigiwa simu)
Muafrika👨🏿:Nzuri mi nalimalima tu mwenzako
Mzungu👨:Poa basi em kaana nyani wangu basi mara moja jamaa
Muafrika👨🏿:Asa mi sielewani nae,na atakula ndizi zangu
Mzungu👨:Kwani nyie si ndugu(akamcheka na kisha akageuka na kuanza kuongea na simu)
Muafrika 😡😡:………..
(mzungu alivyomalizakuongea na simu)
Mzungu👨:oya mbona unaniulia nyani wangu???
Muafrika👨🏿:Tunamatatizo ya kifamilia wewe hayakuhusu
😂😂😂😂😂 aahh kudadeki; unafikiri nini kinafuata hapo