Ujima ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ujima ni mfumo wa mwanzo wa kiuchumi na kiutawala wa hapo zamani ambapo binadamu walipotumia silaha za mawe na kuzalisha moto kwa kupekecha miti maalum.
Pia ujima ulikuwa na mgawanyo wa kazi mzuri, kwa mfano vijana na wanaume walifanya kazi, wazee na watoto hawakufanya kazi. Kwa jumla watu walifanya kazi kwa kushirikiana bila ubaguzi wala matabaka.