Ubatizo ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Emmanuel Magessa
Ubatizo ni nini?
A. -Ni ishara ya nje inayoonyesha kuwa mtu ameacha njia zake za zamani na ameanza kumfuata Yesu Kristo.
-Ni ishara ya kufa kuzikwa na kufufuka na Kristo.
Warumi 6:4
Wakolosai 2:12
B. Maana ya neno “BATIZA”. Neno batiza limetokana na neno la Kiyunani,”BAPTIDZO” lenye maana zamisha au zika kabisa. Hivyo neno batiza maana yake ni zamisha, auzika kabisa.