Tuzo points ni nini, na zina faida gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Salim Jumbe
Tuzo pointi kutoka vodacom ni points zinazopatikana kama utafanya baadhi ya mambo kwa kutumia simu yako ya vodacom. Mambo yenyewe ni kama kuongeza saliona kutumia M Pesa. Kiufupi ni kwa kuwa mtumiaji wa Vodacom.
Unaweza kuzitumia points
Vifuatavyo ni vifurushi ambavyo mteja anaweza kununua kwa kutumia TUZO pointi: