Taratibu za ku adopt mtoto Tanzania zikoje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Kwa kiswahili inajulikana kama kuasili mtoto
Uasilishaji ni mchakato unaomwezesha mtu kuwa mzazi wa mwingine na kwa kufanya hivyo, unahawilisha haki zote na majukumu, pamoja na ushirikishwaji kutoka kwa wazazi au mzazi wake halisi. Usajili wa watoto walioasilishwa unatawaliwa na sheria ya uasilishaji (sura ya 335) na sheria za uasilishaji za mahakama. Taasisi ya Serikali inayosimamia uasilishaji nchini Tanzania ni Idara ya Ustawi wa Jamii.
Masharti:
Taratibu: