Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Vyeti

Share
  • Facebook
0
5Answers
10Questions
Home»Vyeti
Adv
  • Maswali
  • Majibu
  • Majibu mengi
  • Bila jibu
  • Views nyingi
  1. Asked: January 16, 2020Vyeti

    Nani anaweza kusajili kifo kwa msajili wa vizazi na vifo?

    Flora Jumanne

    Flora Jumanne

    • Arusha, Tanzania
    • 0 Questions
    • 20 Answers
    • 0 Best Answers
    • 99 Points
    View Profile
    Flora Jumanne Intermediate
    Jibu - January 16, 2020 saa 12:54 pm

    Mwenye jukumu la kusajili kifo ni  Daktari, ndugu wa karibu wa marehemu aliyekuwepo wakati wa kifo. Mtu aliyemhudumia wakati wake wa mwisho wa ugonjwa. Mwenye nyumba. Mpangaji. Mtu yeyote aliyechukua jukumu la maziko ya marehemu.

    Mwenye jukumu la kusajili kifo ni 

    • Daktari, ndugu wa karibu wa marehemu aliyekuwepo wakati wa kifo.
    • Mtu aliyemhudumia wakati wake wa mwisho wa ugonjwa.
    • Mwenye nyumba.
    • Mpangaji.
    • Mtu yeyote aliyechukua jukumu la maziko ya marehemu.
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Asked: January 15, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Nawezaje kuomba cheti cha kuzaliwa tena kama kimepotea?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 15, 2020 saa 5:48 am

    Fika katika ofisi za RITA ukiwa na maelezo sahihi yafuatayo: Jina la mtoto Jina la baba. Jina la mama. Mahali pa kuzaliwa. Tarehe sahihi ya kuzaliwa na usajili. Tarehe kilipotolewa iwapo kuna uwezekano. Nakala ya cheti hicho kama ipo. Ada halisi ya Tsh. 3500/=

    Fika katika ofisi za RITA ukiwa na maelezo sahihi yafuatayo:

    • Jina la mtoto
    • Jina la baba.
    • Jina la mama.
    • Mahali pa kuzaliwa.
    • Tarehe sahihi ya kuzaliwa na usajili.
    • Tarehe kilipotolewa iwapo kuna uwezekano.
    • Nakala ya cheti hicho kama ipo.
    • Ada halisi ya Tsh. 3500/=
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Asked: January 14, 2020Vyeti

    Nawezaje kupata cheti cha kuthibitisha kifo cha baba yangu?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 14, 2020 saa 6:56 am

    Taratibu za kupata cheti cha kifo ni kusajili tukio la kifo kwanza kwa kujaza Fomu ya maombi ya D3. Au tembelea ofisi ya RITA iliyopo mkoani mwako.

    Taratibu za kupata cheti cha kifo ni kusajili tukio la kifo kwanza kwa kujaza Fomu ya maombi ya D3.

    Au tembelea ofisi ya RITA iliyopo mkoani mwako.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  7. Asked: January 13, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Nawezaje kupata cheti changu cha kuzaliwa ikiwa umri wangu umeenda?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 13, 2020 saa 2:01 pm

    Unaweza kupata cheti chako cha kuzaliwa hata kama miaka yako imeenda sana. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea ofisi za RITA zilizopo mkoani mwako na kuomba kujaza fomu kwa ajili ya kupata cheti chako au unaweza kujaza Fomu ya B3.

    Unaweza kupata cheti chako cha kuzaliwa hata kama miaka yako imeenda sana.

    Unachotakiwa kufanya ni kutembelea ofisi za RITA zilizopo mkoani mwako na kuomba kujaza fomu kwa ajili ya kupata cheti chako au unaweza kujaza Fomu ya B3.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  9. Asked: January 12, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Cheti changu cha kuzaliwa kina majina tofauti na vyeti vingine, nifanyeje?

    Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 81 Answers
    • 0 Best Answers
    • 369 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    Jibu - January 12, 2020 saa 6:39 am

    Tatizo hili wanalo wengi ila hawazingatii mpaka cheti kikataliwe katika ofisi mfano wakati wa udahili wa chuo kikuu. Wahi sasa, tembelea ofisi za NIDA iliyopo karibu nawe kupata utaratibu wa namna ya kubadilisha majina katika cheti cha kuzaliwa.

    Tatizo hili wanalo wengi ila hawazingatii mpaka cheti kikataliwe katika ofisi mfano wakati wa udahili wa chuo kikuu.

    Wahi sasa, tembelea ofisi za NIDA iliyopo karibu nawe kupata utaratibu wa namna ya kubadilisha majina katika cheti cha kuzaliwa.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  11. Asked: January 11, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Kama mtanzania amezaliwa akiwa nje ya nchi, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania?

    Flora Jumanne

    Flora Jumanne

    • Arusha, Tanzania
    • 0 Questions
    • 20 Answers
    • 0 Best Answers
    • 99 Points
    View Profile
    Flora Jumanne Intermediate
    Jibu - January 11, 2020 saa 6:28 am

    RITA wanasema hivi "Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo."

    RITA wanasema hivi “Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo.”

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  12. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  13. Asked: January 9, 2020Vyeti

    Ninaishi nje ya Tanzania na cheti changu cha ndoa kinahitajika katika nchi niliyopo, nifanyeje?

    Anonymous
    Jibu - January 9, 2020 saa 6:29 am

    Nenda kwenye ubalozi wa Tanzania katika nchi unayoishi kupata fomu halisi ya maombi (kwa RGM...) ambayo utapaswa kuijaza na kuiwasilisha kwa msajili mkuu wa ndoa kupitia katika ubalozi au (unaweza kupakua fomu hii kutoka kwenye tovuti yetu) au iwasilishe katika ofisi za RITA nchini Tanzania ikitokeaSoma Zaidi

    • Nenda kwenye ubalozi wa Tanzania katika nchi unayoishi kupata fomu halisi ya maombi (kwa RGM…) ambayo utapaswa kuijaza na kuiwasilisha kwa msajili mkuu wa ndoa kupitia katika ubalozi au (unaweza kupakua fomu hii kutoka kwenye tovuti yetu) au iwasilishe katika ofisi za RITA nchini Tanzania ikitokea upo hapa.
    • Maombi haya lazima yaambatane na nyaraka muhimu zinazoweza kukutambulisha kirahisi.  Nyaraka hizo zinajumuisha japo si lazima nakala ya pasipoti, cheti cha kuzaliwa na sheria yoyote ya ndoa.
    • Lipa ada muhimu ambayo kwa sasa ni Tsh. 200,000/=.

      Kumbuka:
      Iwapo cheti hiki kitapaswa kutumwa kwako hakikisha kuwa malipo yanajumuisha gharama zozote za posta.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  14. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  15. Asked: January 9, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Nawezaje kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania kama nipo nje ya nchi?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 9, 2020 saa 6:20 am

    Cheti cha kuzaliwa ni waraka muhimu na halisi unaoandikwa kwenye rejesta ya vizazi ya nchi alikozaliwa mtoto. Cheti hicho kina taarifa kama vile mahali, mwaka, mwezi, siku, tarehe na wakati alipozaliwa motto. Waraka huu ni muhimu na wenye manufaa ni utambulisho wa kujua utaifa na umri wa mtu. MasharSoma Zaidi

    Cheti cha kuzaliwa ni waraka muhimu na halisi unaoandikwa kwenye rejesta ya vizazi ya nchi alikozaliwa mtoto. Cheti hicho kina taarifa kama vile mahali, mwaka, mwezi, siku, tarehe na wakati alipozaliwa motto. Waraka huu ni muhimu na wenye manufaa ni utambulisho wa kujua utaifa na umri wa mtu.

    Masharti:

    • Picha tatu za pasipoti
    • Uwe na angalau kimojawapo kati ya hivi: kadi ya kliniki, cheti cha ubatizo, cheti cha kumaliza shule (msingi/sekondari)

    Taratibu:

    • Peleka maombi kupitia barua pepe ya RITA (info@rita.go.tz)
    • Jaza Fomu na kuwasilisha kupitia barua pepe
    • Ambatisha angalau kimojawapo kati ya hivi: kadi ya kliniki, cheti cha ubatizo, cheti cha kumaliza shule (Msing/ Sekondari)
    • Pokea barua pepe kutoka RITA, pamoja na kiambatisho cha Fomu ya Kiapo, halafu ambatisha na nakala tatu za picha za pasipoti
    • Skani fomu ya kiapo na itume kupitia barua pepe
    • Pokea barua pepe kutoka RITA, inayoruhusu kuendelea na mchakato wa malipo
    • Lipa cheti cha mtoto kilichoelezwa chini ya umri wa miaka 10 – dola za Marekani 14, zaidi ya miaka 10 na kuendelea , Dola za Marekani 20. Na kupitisha Hundi – Dola za Marekani 20.
    • Malipo ni lazima yafanywe kupitia DHL-EMS n.k

    Chanzo: Tovuti ya serikali

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  16. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  17. Asked: January 8, 2020Vyeti

    Kama cheti cha ndoa kimepotea nawezaje kupata copy yake?

    Anonymous
    Jibu - January 8, 2020 saa 10:09 am

    Ndoa zote zinazofanyika Tanzania bara husajiliwa na kupata usajili wa msajili mkuu wa ndoa na talaka.  Wasajili wote wa wilaya na viongozi wa dini wanatakiwa kisheria kutuma ndoa zote walizozifungisha kila mwishoni mwa mwezi.  Kupitia katika taarifa hizi msajili mkuu kutunza kumbukumbu zote za ndoa.Soma Zaidi

    • Ndoa zote zinazofanyika Tanzania bara husajiliwa na kupata usajili wa msajili mkuu wa ndoa na talaka.  Wasajili wote wa wilaya na viongozi wa dini wanatakiwa kisheria kutuma ndoa zote walizozifungisha kila mwishoni mwa mwezi.  Kupitia katika taarifa hizi msajili mkuu kutunza kumbukumbu zote za ndoa.
    • Iwapo cheti halisi kimepotea unaweza kupata nakala ya usajili ya ingizo la ndoa ambalo  huhifadhiwa na msajili mkuu.

      Jinsi ya Kufanya ;

    • Wasilisha maombi yako kwenye ofisi za RITA ukionyesha majina ya wanandoa, mahali ilipofungwa, wilaya pia  onyesha iwapo ni ndoa ya kiserikali au ya kidini.
    • Lipa ada halisi ambayo kwa sasa ni Tsh. 30000/= inayojumuisha yafuatayo:
      – TSH 10000/= ada ya utafutaji.
      – TSH 20000/= ada ya cheti.
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  18. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  19. Asked: January 8, 2020Cheti cha Kuzaliwa

    Utaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa kwa watoto uko vipi?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 8, 2020 saa 9:39 am

    Kwa mujibu wa sheria, vizazi ni lazima viandikishwe ndani ya siku 90 za kutokea kwake. Hata hivyo sheria inaruhusu usajili wa baadaye. Muhimu: Iwapo mtoto amezaliwa hospitali, vituo vya afya na zahanati, hakikisha kuwa unapata tangazo la kizazi. Iwapo mtoto amezaliwa nyumbani, toa taarifa kwa ofisaSoma Zaidi

    Kwa mujibu wa sheria, vizazi ni lazima viandikishwe ndani ya siku 90 za kutokea kwake. Hata hivyo sheria inaruhusu usajili wa baadaye.

    Muhimu:

    Iwapo mtoto amezaliwa hospitali, vituo vya afya na zahanati, hakikisha kuwa unapata tangazo la kizazi.
    Iwapo mtoto amezaliwa nyumbani, toa taarifa kwa ofisa mtendaji wa kijiji au msajili wa wilaya wa vizazi na vifo ili upate tangazo la kizazi. Hii ni lazima ifanyike ndani ya siku 90.

    Taratibu za kufuata kupata cheti:

    Wasilisha tangazo la kizazi kwa msajili wa vizazi na vifo wa wilaya ambako kizazi kimetokea.
    Lipa ada inayotakiwa kwa ajili ya cheti (kwa sasa ada ni Tsh. 3500/=).

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.