Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Taratibu za kuanzisha chama za siasa ziko vipi?
Chama cha siasa ni shirika la kisiasa linalotafuta umaarufu au kudhibiti kwa ukamilifu sera ya serikali, kwa kawaida ni kwa kuchagua wagombea wenye mwelekeo na mtazamo wa kisiasa unaofungamana na chama hicho na kuwaweka waongoze ofisi za kisiasa serikalini. Masharti: Nakala ya katiba Sheria za chamaSoma Zaidi
Chama cha siasa ni shirika la kisiasa linalotafuta umaarufu au kudhibiti kwa ukamilifu sera ya serikali, kwa kawaida ni kwa kuchagua wagombea wenye mwelekeo na mtazamo wa kisiasa unaofungamana na chama hicho na kuwaweka waongoze ofisi za kisiasa serikalini.
Masharti:
Taratibu:
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNini maana ya CCM?
Rickyllobbe
Maana ya CCM; C;Chama C;Cha M;Mapinduzi Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi maarufu kama ccm ni mheshimiwa Raisi Dr John Joseph Magufuli
Maana ya CCM;
C;Chama
C;Cha
M;Mapinduzi
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi maarufu kama ccm ni mheshimiwa Raisi Dr John Joseph Magufuli
See less