Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kuangalia kama nadaiwa na Vodacom?
Salim Jumbe
Piga *149*01#, chagua Nipige Tafu kisha Salio la Mkopo
Piga *149*01#, chagua Nipige Tafu kisha Salio la Mkopo
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaMenu ya nipige tafu ya Vodacom ni ipi
Salim Jumbe
Mteja ataweza kutumia huduma kwa kuingia kwenye menu ya bidhaa ya Vodacom kwa kupiga *149*01# kisha chagua Nipige Tafu au kwa kupiga *149*01*99#
Mteja ataweza kutumia huduma kwa kuingia kwenye menu ya bidhaa ya Vodacom kwa kupiga *149*01# kisha chagua Nipige Tafu au kwa kupiga *149*01*99#
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaMenu ya kukopa salio Vodacom ni ipi?
Salim Jumbe
Mteja ataweza kutumia huduma kwa kuingia kwenye menu ya bidhaa ya Vodacom kwa kupiga *149*01# kisha chagua Nipige Tafu au kwa kupiga *149*01*99#
Mteja ataweza kutumia huduma kwa kuingia kwenye menu ya bidhaa ya Vodacom kwa kupiga *149*01# kisha chagua Nipige Tafu au kwa kupiga *149*01*99#
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNikiweka akiba M Pawa nitapata riba kiasi gani?
Salim Jumbe
Utatalipwa faida itokanayo na salio la akiba uliloweka. (Kiwango cha Faida kitahesabiwa kila siku na kulipwa kila baada ya miezi 3) Bidhaa utakazopewa zinapangwa kulingana kiasi cha akiba kama hapa chini . Hii itategemeana na uthibitisho wa taarifa zako. Kiasi cha Akiba (Tsh.) Kiwango cha faida (%)Soma Zaidi
Utatalipwa faida itokanayo na salio la akiba uliloweka. (Kiwango cha Faida kitahesabiwa kila siku na kulipwa kila baada ya miezi 3)
Bidhaa utakazopewa zinapangwa kulingana kiasi cha akiba kama hapa chini . Hii itategemeana na uthibitisho wa taarifa zako.
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNisipolipa mkopo wangu wa M Pawa ndani ya siku 30, Vodacom watanifanya nini?
Salim Jumbe
Muda wa malipo utaongezwa kwa siku 30 pamoja na riba ya 9% zaidi. Muda unaweza ukaongezwa mara moja tu
Muda wa malipo utaongezwa kwa siku 30 pamoja na riba ya 9% zaidi. Muda unaweza ukaongezwa mara moja tu
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaInawezekana kutoa pesa M Pesa kwa kutumia ATM za CRDB?
Salim Jumbe
Inawezekana Kutoa pesa kwenye ATM za benki ya CRDB kwa njia ya M Pesa fuata hatua hizi Sehemu ya 1 1. Piga *150*00# kisha chagua "Toa Pesa" 2. Ingiza namba ya wakala ambayo ni 999999 kwa ATM zote za benki ya CRDB 3. Ingiza namba yako ya siri ya M Pesa Utapokea SMS yenye vocha ya tarakimu 6 unayopaswSoma Zaidi
Inawezekana
Kutoa pesa kwenye ATM za benki ya CRDB kwa njia ya M Pesa fuata hatua hizi
Sehemu ya 1
1. Piga *150*00# kisha chagua “Toa Pesa”
2. Ingiza namba ya wakala ambayo ni 999999 kwa ATM zote za benki ya CRDB
3. Ingiza namba yako ya siri ya M Pesa
Utapokea SMS yenye vocha ya tarakimu 6 unayopaswa kutumia ndani ya dakika 5 kwenye ATM
Sehemu ya 2
See lessUwapo kwenye ATM fata hatua hizi
1. Bonyeza kitufe cha M-Pesa kinachoonekana kwenye screen ya ATM
2. Chagua lugha
3. Weka namba ya simu
4. Ingiza namba za vocha ulizopokea kwenye ujumbe wa sehemu ya kwanza
5. Weka kiasi unachohitaji
6. Chukua fedha zako na risiti
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuomba mkopo M Pawa?
Salim Jumbe
Piga *150*00# Chagua ‘M-Pawa’ Chagua ‘Mkopo’ Chagua ‘Omba Mkopo’ Weka Kiasi Ingiza PIN Thibitisha maombi ya mkopo kwa kubonyeza ok. Utapokea ujumbe wa uthibitisho kuwa M-Pawa inafanyia kazi ombi la mkopo. Mteja atapokea SMS kumfahamisha kuwa ombi limefanikiwa: Ombi lako la mkopo wa M-Pawa limekubaliSoma Zaidi
Piga *150*00#
Chagua ‘M-Pawa’
Chagua ‘Mkopo’
Chagua ‘Omba Mkopo’
Weka Kiasi
Ingiza PIN
Thibitisha maombi ya mkopo kwa kubonyeza ok. Utapokea ujumbe wa uthibitisho kuwa M-Pawa inafanyia kazi ombi la mkopo.
Mteja atapokea SMS kumfahamisha kuwa ombi limefanikiwa: Ombi lako la mkopo wa M-Pawa limekubaliwa. Salio jipya la M-Pesa ni Tsh XXXX”.
Utapokea SMS nyingine kama ombi halikufanikiwa. Ujumbe huo utaeleza sababu za kukataliwa kwa ombi lako.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNikikopa M Pawa natakiwa kulipa baada ya muda gani?
Faustine John
Mkopo utalipwa ndani ya siku 30. Ila unaweza kulipa kabla muda wa kulipa mkopo haupita na ukope tena. Kama utalipa mkopo chini ya siku 30, kikomo cha kukopa kitaongezwa haraka .
Mkopo utalipwa ndani ya siku 30. Ila unaweza kulipa kabla muda wa kulipa mkopo haupita na ukope tena. Kama utalipa mkopo chini ya siku 30, kikomo cha kukopa kitaongezwa haraka .
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaRiba ya kukopa M Pawa ni asilimia ngapi?
Salim Jumbe
Riba ni 9%. Japo wao wanaiita gharama ya ushauri ya 9% ya mkopo ambayo hutozwa mara moja tu kwa kila mkopo ndani siku 30. Kama umeomba mkopo wa Tsh. 100,000, utalipa Tsh. 109,000 ndani ya siku 30.
Riba ni 9%. Japo wao wanaiita gharama ya ushauri ya 9% ya mkopo ambayo hutozwa mara moja tu kwa kila mkopo ndani siku 30.
Kama umeomba mkopo wa Tsh. 100,000, utalipa Tsh. 109,000 ndani ya siku 30.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaM Pawa ni nini?
Salim Jumbe
Hii ni huduma ya kibenki kwenye simu kwa wateja waliojisajili na M-Pesa kwa ushirikiano na CBA. Wateja wanaweza kuweka akiba na kukopa pesa huku wakipata faida itokanayo na kuweka akiba.
Hii ni huduma ya kibenki kwenye simu kwa wateja waliojisajili na M-Pesa kwa ushirikiano na CBA.
See lessWateja wanaweza kuweka akiba na kukopa pesa huku wakipata faida itokanayo na kuweka akiba.