Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Namba ya simu ya NIDA ni ipi?
Salim Jumbe
0735201020 0736201020 0743000058 0752000058 0686088888 0687088888 0777740008 0677146666 0677146667 0673333444
0735201020
See less0736201020
0743000058
0752000058
0686088888
0687088888
0777740008
0677146666
0677146667
0673333444
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUnaruhusiwa kusajili laini ngapi kwa kitambulisho cha NIDA?
Unaruhusiwa kusajili laini zote namaanisha za mitandao yote lakini hauruhusiwi kusajilia laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja. mfano huwezi kuwa na laini za voda mbili ila unaweza kuwa na voda airtel na tigo kwa kitambulisho hicho hicho

See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kupata softi kopi ya kitambulisho cha taifa?
Calvin Mlay
Unaweza kupata copy ama nakala ya kitambulisho chako cha NIDA kwa kutumia tovuti ya NIDA online. Inapatikana hapa https://services.nida.go.tz/nidportal/NID_Copy.aspx Kumbuka kujaza taarifa zako kwa usahihi, na moja kati ya kitu nilichogundua ni kwamba kama utaulizwa baadhi ya taarifa kuna uwezekanoSoma Zaidi
Unaweza kupata copy ama nakala ya kitambulisho chako cha NIDA kwa kutumia tovuti ya NIDA online.
Inapatikana hapa https://services.nida.go.tz/nidportal/NID_Copy.aspx
Kumbuka kujaza taarifa zako kwa usahihi, na moja kati ya kitu nilichogundua ni kwamba kama utaulizwa baadhi ya taarifa kuna uwezekano zisiwe sahihi, mfano kama jina la sehemu unayoishi ni Chang’ombe inabidi uiandike bila hiyo alama baada ya ‘g’ yaani changombe.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUmri wa kupata kitambulisho cha taifa ni kuanzia miaka mingapi?
Salim Jumbe
Wanaoweza kupata vitambuliso vya taifa ni raia wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea. Kumbuka kuwa zoezi hili ni endelevu hivyo ambao watafikisha miaka 18 siku zijazo wanaweza kuomba vitambulisho pia.
Wanaoweza kupata vitambuliso vya taifa ni raia wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea. Kumbuka kuwa zoezi hili ni endelevu hivyo ambao watafikisha miaka 18 siku zijazo wanaweza kuomba vitambulisho pia.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNitapata wapi fomu ya NIDA katika mfumo wa PDF?
1sky
Kupata fomu ya Kitambulisho cha Taifa NIDA tumia link hii NIDA PDF
Kupata fomu ya Kitambulisho cha Taifa NIDA tumia link hii NIDA PDF
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKirefu cha NIDA ni nini?
Calvin Mlay
Kirefu cha NIDA ni National Identification Authority
Kirefu cha NIDA ni National Identification Authority
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kupata namba ya kitambulisho cha taifa NIDA?
Calvin Mlay
Ukiacha njia ile ya kutumia *152*00# katika simu yako, unaweza pia kupata namba katika mtandao kwa kutumia hatua hizi. Kuna link mwisho wa haya maelezo utaibonyeza kisha utatakiwa kujaza jina lako la kwanza na la ukoo. Kisha utajaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa. Na mwisho utajaza jina la kwanzSoma Zaidi
Ukiacha njia ile ya kutumia *152*00# katika simu yako, unaweza pia kupata namba katika mtandao kwa kutumia hatua hizi.
See lessKuna link mwisho wa haya maelezo utaibonyeza kisha utatakiwa kujaza jina lako la kwanza na la ukoo. Kisha utajaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa.
Na mwisho utajaza jina la kwanza la mama na jina la mwisho la mama kama ulivyoandika katika fomu ya NIDA wakati unajaza.
HAKIKISHA haukosei hata herufi moja wakati unajaza taarifa hizo. Ukikosea hata herufi moja tu hautapata namba yako.
LINK YA KUPATA NAMBA