Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Usafiri

Share
  • Facebook
0
2Answers
6Questions
Home»Usafiri
Adv
  • Maswali
  • Majibu
  • Majibu mengi
  • Bila jibu
  • Views nyingi
  1. Asked: August 5, 2019Usafiri wa anga

    Kwa nini ndege haina seat namba 13?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - April 7, 2020 saa 5:27 pm

    ndege nyingi hazina seat namba 13 kwasababu inaaminika kwamba namba 13 ni namba isiyo kuwa na  baati kwa maisha ya watu

    ndege nyingi hazina seat namba 13 kwasababu inaaminika kwamba namba 13 ni namba isiyo kuwa na  baati kwa maisha ya watu

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Asked: February 1, 2020Magari, Udereva

    Masharti na taratibu za kupata leseni ya udereva ni zipi?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - February 1, 2020 saa 6:45 am

    Leseni ya udereva ni waraka rasmi unaoeleza kuwa mtu anaweza kuendesha chombo cha moto, kama vile pikipiki, gari dogo, lori au basi, katika barabara ya umma. Wenye leseni za udereva za baadhi ya daraja watalazimika kuendesha daraja hiyo baada ya kujaribiwa na si vinginevyo. Masharti: Amehudhuria chuSoma Zaidi

    Leseni ya udereva ni waraka rasmi unaoeleza kuwa mtu anaweza kuendesha chombo cha moto, kama vile pikipiki, gari dogo, lori au basi, katika barabara ya umma. Wenye leseni za udereva za baadhi ya daraja watalazimika kuendesha daraja hiyo baada ya kujaribiwa na si vinginevyo.

    Masharti:

    • Amehudhuria chuo chochote cha udereva kinachotambuliwa na kupata cheti
    • Umri unaozidi miaka 18 kwa gari na miaka 16 kwa pikipiki
    • Uwe na leseni ya muda/kujifunzia udereva (Tsh.10,000/= inaongezwa muda kila miezi mitatu)
    • Lazima ulipe ada ya kupimwa –GRR
    • Lazima uwe na cheti cha kipimo cha macho
    • Lazima uombe Idara ya Usalama Barabarani kwa kujaribiwa
    • Lazima uende Idara ya Usalama Barabarani na gari kwa ajili ya kujaribiwa
    • Lipa ada ya Tsh.3,000 ya majaribio ya udereva
    • Mwombaji akishajaribiwa anaweza kuruhusiwa kuendesha pikipiki na gari ndogo

     

    Taratibu:

    • Jaza fomu ya kupewa namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN) (iwapo hujakuwa nayo)
    • Jaza fomu ya leseni iliyoelezwa katika mamlaka ya kodi Tanzania
    • Lipa ada ya leseni iliyopendekezwa ya Tsh. 40,000/= kupitia benki
    • Taarifa zako zote zitaingizwa kwenye mfumo wa kompyuta kwa ajili ya kukusanya data
    • Polisi watakupa nyaraka za kupeleka TRA
    • TRA itakupatia leseni ya udereva

     

    Zingatia:

    • Leseni itakuwa kwa mtindo wa kadi ngumu kama za benki na nembo ya bendera
      ya taifa
    • Makosa yote yatakayofanywa na dereva yatabainishwa kutokana mfumo huu mpya wa
      leseni.
    • Leseni inaweza kusitishwa au kuchukuliwa kutegemea uzito wa makosa
    • Leseni ya udereva itakuwa halali kwa kipindi cha miaka mitatu na utatakiwa
      kuiongeza muda wa matumizi

     

    chanzo tovuti kuu ya serikali

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Asked: January 22, 2020Usafiri

    Nimepoteza passport yangu ya kusafiria, nifanyaje?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 22, 2020 saa 2:17 pm

    Iwapo pasipoti imepotea, kuibwa au kuharibika sana, maombi ya ubadilishaji yanaambana na tamko la kiapo cha mazingira yanayohusiana na kupotea hulo, wizi au kuharibika kwa pasipoti na mamlaka kulikotolewa taarifa ya kupotea, wizi au kuharibika. Masharti: Waraka wa taarifa ya polisi kuhusu kupotea huSoma Zaidi

    Iwapo pasipoti imepotea, kuibwa au kuharibika sana, maombi ya ubadilishaji yanaambana na tamko la kiapo cha mazingira yanayohusiana na kupotea hulo, wizi au kuharibika kwa pasipoti na mamlaka kulikotolewa taarifa ya kupotea, wizi au kuharibika.

    Masharti:

    • Waraka wa taarifa ya polisi kuhusu kupotea huko.

    Taratibu:

    • Toa taarifa kwenye kituo cha polisi cha karibu kuhusu kupotea,
      kuibiwa kwa pasipoti.
    • Tangaza kupotea au kuibiwa kwa pasipoti katika gazeti la kila siku.
    • Ambatisha hati za kusafiria na pasipoti ya zamani(kama ipo)
    • Omba tena kwa Kamishna Mkuu wa uhamiaji.
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  7. Asked: January 21, 2020Usafiri

    Taratibu za kupata passport ya kusafiria ziko vipi?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 21, 2020 saa 6:50 am

    Pasipoti ni hati inayotolewa na serikali ili kumwezesha raia wake aweze kusafiri nje ya mipaka ya nchi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi anayokwenda au kupitia. Licha ya kuwa pasipoti hutolewa kwa jina na maelezo mengine yanayomhusu mwombaji, hati hiyo hubaki kuwa ni mali ya serikali.  Soma Zaidi

    Pasipoti ni hati inayotolewa na serikali ili kumwezesha raia wake aweze kusafiri nje ya mipaka ya nchi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi anayokwenda au kupitia. Licha ya kuwa pasipoti hutolewa kwa jina na maelezo mengine yanayomhusu mwombaji, hati hiyo hubaki kuwa ni mali ya serikali.

     

    Masharti:

    • Cheti cha kuzaliwa, hati ya kiapo au cheti cha uraia wa kuandikishwa.
    • Cheti cha kuzaliwa, hati ya kiapo au cheti cha uraia wa kuandikishwa cha
      mzazi au wazazi
    • Picha sahihi ya hivi karibuni ya pasipoti isiyo kwenye fremu.
    • Iwapo mwombaji ana umri wa chini ya miaka kumi na nane (18), wazazi/
      walezi wawasilishe ridhaa ya maandishi.
    • http://www.immigration.go.tz/index.php/en/services/passports-and-travel-documents

     

    Taratibu:

    • Jaza Fomu ya Maombi iliyoelezwa katika ofisi ya uhamiaji.
    • Wasilisha fomu ya maombi kwa mkurugenzi wa uhamiaji.
    • Wasilisha nyaraka zote zinazotakiwa kama ilivyoelezwa hapo juu.
    • Lipa ada ya Tshs 50,000/= kama ilivyoelekezwa.

     

    Zingatia: Mbali na masharti hayo ya jumla yapo maelelzo ya viambatanisho maalum kutokana na aina ya safari kama ilivyoainishwa nyuma ya fomu ya ombi la pasipoti.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.