Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ntapata wapi app ya kuangalia TV za bongo?
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka StarTimes AzamTv DStv Itv StarTv CloudsTv na TBC Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka
StarTimes
AzamTv
DStv
Itv
StarTv
CloudsTv na
TBC
Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
See lessApp ya kuangalia TV channel za bongo ni ipi?
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka StarTimes AzamTv DStv Itv StarTv CloudsTv na TBC Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka
StarTimes
AzamTv
DStv
Itv
StarTv
CloudsTv na
TBC
Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
See lessNitapataje free channels kwenye king’amuzi?
Kupata free channels mbona ni rahisi tu. Unanunua king'amuzi unazipata. Kila king'amuzi kina channel ambazo ni free kwa hiyo ukinunua tu unapata free channels nyingi. Naona kama Startimes ndio wana idadi kubwa zaidi ya free channels. Kama unaongeleza zaidi ya hapo jaribu kangalia hii Nawezaje kuibaRead more
Kupata free channels mbona ni rahisi tu.
Unanunua king’amuzi unazipata. Kila king’amuzi kina channel ambazo ni free kwa hiyo ukinunua tu unapata free channels nyingi. Naona kama Startimes ndio wana idadi kubwa zaidi ya free channels.
Kama unaongeleza zaidi ya hapo jaribu kangalia hii Nawezaje kuiba channel Startimes?
See lessNifanyeje kuangalia TV bila kulipia king’amuzi?
Wengi tumeshuhudia mateso tunayopata wakati tunalipia na tusipolipia tunakatiwa mpaka local channel. Njia pekee ni kutumia madishi ama ungo kama yanavyojulikana mfano eurostar, gulf na mengine mengi. Faida yake ni kuwa unaeza kutizama mpaka channel 300 bure bila kulipia. Kulipia ni baadhi tu ya chanRead more
Wengi tumeshuhudia mateso tunayopata wakati tunalipia na tusipolipia tunakatiwa mpaka local channel. Njia pekee ni kutumia madishi ama ungo kama yanavyojulikana mfano eurostar, gulf na mengine mengi.
Faida yake ni kuwa unaeza kutizama mpaka channel 300 bure bila kulipia. Kulipia ni baadhi tu ya channel ila kuna free channel kama 300 hivi. unatumia miaka yote bila kulipia.
Faida nyingine haya ndo baba wa digitali kwani yana ubora wa picha na sauti. Habari ya kusikrach haipo na kabisa na ubora wa sauti.
Faida nyingine ukitaka channel fulani waweza pata kwa kuweka namba fulani au frequency au kuelekeza dishi upande fulani na unapata,
hii kitu ina channel nyingi sana za michezo na haina haja ya kuwa na DSTV,
Nunueni hizo ungo muachane na mateso ya kulipia ving’amuzi mpaka local channel.
chanzo JF
See lessBei ya vifurushi vya Startimes ikoje?
Bei za vifurushi kwa king’amuzi cha antena sasa Nyota 4000/= Mambo 12000/= Uhuru 24000/= Kili 36000/= King’amuzi cha dish Nyota+6000/= Smart 18000/= Super 36000/= Chinese 36000/= Indian 18000/=
Bei za vifurushi kwa king’amuzi cha antena sasa
Nyota 4000/=
Mambo 12000/=
Uhuru 24000/=
Kili 36000/=
King’amuzi cha dish
Nyota+6000/=
Smart 18000/=
Super 36000/=
Chinese 36000/=
Indian 18000/=
See lessTaratibu za kiserikali za kuzingatia kabla ya kuanzisha redio au TV Tanzania ukoje?
Utangazaji ni utawanyaji wa taarifa za redio na video kwa hadhira ya mbali iliyosambaa kupitia njia yoyote ya mawasiliano na umma ya redio au picha, lakini ni ile inayohusu mawimbi ya umeme na sumaku (mawimbi ya redio) kwa hiyo, leseni ya utangazaji ni aina ya leseni ya spectra inayotoa idhini ya leRead more
Utangazaji ni utawanyaji wa taarifa za redio na video kwa hadhira ya mbali iliyosambaa kupitia njia yoyote ya mawasiliano na umma ya redio au picha, lakini ni ile inayohusu mawimbi ya umeme na sumaku (mawimbi ya redio) kwa hiyo, leseni ya utangazaji ni aina ya leseni ya spectra inayotoa idhini ya leseni ya kutumia sehemu ya spectra ya masafa ya redio/ TV katika eneo fulani la kijiografia kwa madhumuni ya utangazaji.
Ukiachana na maswala ya kodi kutoka TRA na mengine mambo muhimu ya kuzingatia ni haya
Masharti na Kanuni:
Taratibu:
Tume inayoongelewa hapo ni TCRA
See lesschanzo:Tovuti kuu ya serikali
Nawezaje kurekodi video katika king’amuzi cha AzamTV
Unahitajika kuwa na flash kwanza kabla haujarekodi. Ukiwa nayo unapaswa kuiweka katika decoder/king'amuzi chako. Chagua channel ama kipindi unachokitaka halafu bonyeza REC katika rimoti yako, ku stop baada ya kurekodi unabonyeza REC tena.
Unahitajika kuwa na flash kwanza kabla haujarekodi. Ukiwa nayo unapaswa kuiweka katika decoder/king’amuzi chako. Chagua channel ama kipindi unachokitaka halafu bonyeza REC katika rimoti yako, ku stop baada ya kurekodi unabonyeza REC tena.
Nikinunua king’amuzi cha Azam napata warranty?
King'amuzi cha AzamTV kina warranty ya miezi 12. Kumbuka kuwa kuna vigezo na masharti katika warranty.
King’amuzi cha AzamTV kina warranty ya miezi 12. Kumbuka kuwa kuna vigezo na masharti katika warranty.
See lessNimelipia kifurushi cha Azam lakini sipati channels, nifanyaje?
Washa king'amuzi chako na utapata chaneli zote ndani ya dakika 20. Kama ulilipia lakini ulikua umezima king'amuzi chako kwa zaidi ya siku tatu, wasilianana AzamTV kwa simu namba 0764700222, 0784108000 or 022 550 8080. Pia unaweza kutuma SMS au WhatsApp message kwenda 0788678797 au email info@azam-meRead more
Washa king’amuzi chako na utapata chaneli zote ndani ya dakika 20. Kama ulilipia lakini ulikua umezima king’amuzi chako kwa zaidi ya siku tatu, wasilianana AzamTV kwa simu namba 0764700222, 0784108000 or 022 550 8080. Pia unaweza kutuma SMS au WhatsApp message kwenda 0788678797 au email info@azam-media.com
See lessNitajuaje kama vocha ya king’amuzi changu cha Azam inakaribia kuisha?
Utapokea message katika screen ya TV yako siku tatu kabla ili kukupa taarifa ulipie kabla ya kuondolewa huduma.
Utapokea message katika screen ya TV yako siku tatu kabla ili kukupa taarifa ulipie kabla ya kuondolewa huduma.
See less