Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Mwisho wa kuzuia muamala uliokosewa TigoPesa ni dakika ngapi?
Calvin Mlay
Unaweza tu Kuzuia Muamala uliofanyika ndani ya nusu saa. Baada ya nusu saa tafadhali wasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja kwa kupiga namba 100 ili upate msaada.
Unaweza tu Kuzuia Muamala uliofanyika ndani ya nusu saa. Baada ya nusu saa tafadhali wasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja kwa kupiga namba 100 ili upate msaada.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNimemtumia mtu pesa kwa TigoPesa kimakosa, nifanyaye?
Salim Jumbe
Mara tu unapogundua kuwa umekosea kutuma pesa kwa mteja wa Tigo Pesa, piga *150*01#, Chagua namba 6, Jihudumie (Akaunti yangu) na kisha fuata maelekezo.
Mara tu unapogundua kuwa umekosea kutuma pesa kwa mteja wa Tigo Pesa, piga *150*01#, Chagua namba 6, Jihudumie (Akaunti yangu) na kisha fuata maelekezo.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje ku download app ya TigoPesa?
Salim Jumbe
App ya TigoPesa inapatikana katika Google PlayStore na AppStore
App ya TigoPesa inapatikana katika Google PlayStore na AppStore
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKama ndugu yangu ni mfanyabiashara na amefariki, naweza kupata pesa zake zilizokuwa TigoPesa?
Salim Jumbe
Ndio, pesa ilioko katika akaunti ya Tigo Pesa inaweza patikana kwa ndugu pale mfanyabiashara akifariki, kwa kuwasilisha nyaraka zitakazotakiwa na kufuata utaratibu wa kawaida, kama cheti cha kifo nk.
Ndio, pesa ilioko katika akaunti ya Tigo Pesa inaweza patikana kwa ndugu pale mfanyabiashara akifariki, kwa kuwasilisha nyaraka zitakazotakiwa na kufuata utaratibu wa kawaida, kama cheti cha kifo nk.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kulipa bili kwa kutumia TIgoPesa?
Salim Jumbe
Kwa kutumia simu yako Piga *150*01# Chagua namba 4 “malipo” Chagua namba 3 "kupata kumbukumbu namba " Chagua namba 3 "chagua kampuni" Kwenye orodha utapata chaguo la kulipa BILI
Kwa kutumia simu yako
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUnapata dakika, SMS na MB ngapi ukiiunga MiniKabang?
Musa Adam
Unapata Dakika 20 SMS 100 MB 8
Unapata
Dakika 20
See lessSMS 100
MB 8
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKifurushi cha MiniKabang kinakaa muda gani hadi kiishe?
Musa Adam
Siku moja tu yani masaa 24 kuanzia muda ule uliojiunga
Siku moja tu yani masaa 24 kuanzia muda ule uliojiunga
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuweka pesa BetPawa kwa kutumia TigoPesa?
Musa Adam
Piga *150*01# Chagua 5 - Lipa bili Chagua 2 - Lipa kwa Masterpass QR Weka 60124815 Weka kiasi Andika PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuweka pesa Mkekabet kwa kutumia TigoPesa?
Musa Adam
- Ingia katika menyu ya TigoPesa *150*01# - Chagua Lipa bili - Weka namba ya kampuni 238844 - Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345 - Chagua kiasi unachotaka kuweka - Weka PIN yako ya TigoPesa halafu Thibitisha - Utapokea ujumbe mfupi kutoka Tigo-Pesa na Mkekabet kuthibitisha muamala
– Ingia katika menyu ya TigoPesa *150*01#
– Chagua Lipa bili
– Weka namba ya kampuni 238844
– Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345
– Chagua kiasi unachotaka kuweka
– Weka PIN yako ya TigoPesa halafu Thibitisha
– Utapokea ujumbe mfupi kutoka Tigo-Pesa na Mkekabet kuthibitisha muamala
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaTigo Tanzania ilianza mwaka gani?
Rickyllobbe
Tigo ilianzishwa mwaka 1994 ikiwa mtandao wa kwanza Tanzania wa simu za mkononi
Tigo ilianzishwa mwaka 1994 ikiwa mtandao wa kwanza Tanzania wa simu za mkononi
See less