Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Sayansi & Teknolojia

Sayansi & Teknolojia ni ugunduzi wa maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitu mf. zana au mitambo katika viwanda, kilimo, ufundi au mawasiliano.

Share
  • Facebook
0
0Answers
17Questions
Home»Sayansi & Teknolojia
Adv
  • Maswali
  • Majibu
  • Majibu mengi
  • Bila jibu
  • Views nyingi
  1. Asked: July 1, 2019Teknolojia

    Android ni nini?

    Faustine John

    Faustine John

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 16 Questions
    • 75 Answers
    • 0 Best Answers
    • 251 Points
    View Profile
    Faustine John Expert
    Jibu - April 9, 2021 saa 4:46 pm

    ANDROID NI NINI? Android ni kifurushi cha programu na mfumo wa uendeshaji ambao uliotokana na kodi za linux ambazo ni open source kwa ajili ya simu kama smartphones na tablets Android ilitengenezwa na kampuni ya google na kuwa inatumika kuanzia 2008 na baadae ikawa inatengenezwa na  mfumo wa OHA(OPESoma Zaidi

    ANDROID NI NINI?

    Android ni kifurushi cha programu na mfumo wa uendeshaji ambao uliotokana na kodi za linux ambazo ni open source kwa ajili ya simu kama smartphones na tablets

    Android ilitengenezwa na kampuni ya google na kuwa inatumika kuanzia 2008 na baadae ikawa inatengenezwa na  mfumo wa OHA(OPEN HANDSET ALLIANCE) ambayo ni muunganiko wa kampuni 84 ikiwepo   GOOGLE,AKM,SAMSUNG,SYNAPTICS,KDDI,GARMIN,TELECA,EBAY,INTEL na badhi nyinginezo lakini GOOGLE akiwa kiongozi.

    Android imetengenezwa na kodi za JAVA hususani katika sehemu ya UI maana ya USER INTERFACE yaani muonekano kwa kiswhaili lakini kodi mama za android ni zaC na C++ na baadhi ya nyingine za ziada

    Android ina mpangalio wake zinakwenda kwa kufuata majina na number maalum ambazo hupewa na watengenezaji wake kuanzia cupacake, eclair, donut, froyo,  Jelly Bean, Kitkat, Lollipop, marshmallow na mpaka sasa … endelea kusoma

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Asked: April 30, 2019Teknolojia

    Nawezaje kuhack Google?

    Jibu - October 25, 2020 saa 7:50 am

    Sijui unamaanisha nini haswa ukisema unawezaje kui hack Google. Lakini kama lengo lako ni kuhack kwanza inabidi uwe na uwezo wa ku hack, yani ujifunze programing language kwa ajili ya kuihack na uanze na challenge ndogondogo namaanisha ujifunze kwa kadri ziku zinavyozidi kwenda alafu baadae ndo uanzSoma Zaidi

    Sijui unamaanisha nini haswa ukisema unawezaje kui hack Google. Lakini kama lengo lako ni kuhack kwanza inabidi uwe na uwezo wa ku hack, yani ujifunze programing language kwa ajili ya kuihack na uanze na challenge ndogondogo namaanisha ujifunze kwa kadri ziku zinavyozidi kwenda alafu baadae ndo uanze kutafuta madhaifu yaliyopo katika mifumo ya google.

    Sio rahisi na ni hatari usipokuwa makini

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Asked: January 11, 2020Teknolojia

    Kirefu cha HDMI ni nini?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - April 10, 2020 saa 5:49 pm

    Kirefu cha HDM ni "(High-Definition Multimedia Interface)"

    Kirefu cha HDM ni “(High-Definition Multimedia Interface)”

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  7. Asked: October 27, 2019Kiingereza, Maana za Maneno, Tafsiri za Maneno, Teknolojia

    Maana ya “email and password are incorrect” kwa Kiswahili ni nini?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - April 10, 2020 saa 11:24 am

    Maana sahihi ya sentensi "email and password are incorrect" ni >>"barua pepe na neno la siri sio sahihi"

    Maana sahihi ya sentensi “email and password are incorrect” ni >>“barua pepe na neno la siri sio sahihi”

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  9. Asked: February 18, 2019Historia, Maisha, Sayansi

    Uhai ulianzia wapi?

    Emmanuel Magessa

    Emmanuel Magessa

    • Mbeya, Tanzania
    • 1 Question
    • 30 Answers
    • 0 Best Answers
    • 58 Points
    View Profile
    Emmanuel Magessa Intermediate
    Jibu - April 8, 2020 saa 9:09 am

    Wanasayansi wengi wanaoamini mageuzi watakuambia kwamba uhai ulianza mabilioni ya miaka iliyopita kwenye ukingo wa kidimbwi cha kale kilichojaa maji wakati wa kupwa au katika sehemu za chini ya bahari. Wao huhisi kwamba katika maeneo yasiyojulikana kama hayo, kemikali zilijikusanya na kuwa vitu vinaSoma Zaidi

    Wanasayansi wengi wanaoamini mageuzi watakuambia kwamba uhai ulianza mabilioni ya miaka iliyopita kwenye ukingo wa kidimbwi cha kale kilichojaa maji wakati wa kupwa au katika sehemu za chini ya bahari. Wao huhisi kwamba katika maeneo yasiyojulikana kama hayo, kemikali zilijikusanya na kuwa vitu vinavyofanana na mapovu,vikafanyiza molekuli tata, na kuanza kujigawanya-gawanya. Wanaamini kwamba uhai wote duniani ulijitokeza wenyewe tu kutokana na chembe “sahili,” moja au zaidi.

    Wanasayansi wengine wanaoheshimika ambao pia wanaunga mkono mageuzi hawakubaliani na wazo hilo. Wanakisia kwamba chembe za kwanza au angalau sehemu zake kuu zilikuja duniani kutoka anga la nje.

    Licha ya jitihada zao nyingi, wanasayansi hawajaweza kuthibitisha kwamba uhai unaweza kutokea ghafla kutokana na molekuli zinazodhaniwa zilitokeza uhai. Katika mwaka wa 2008, Alexandre Meinesz, Profesa wa Biolijia, alizungumzia utata huo. Alisema kwamba kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita, “hakuna uthibitisho wowote uliopatikana kupitia majaribio yaliyofanywa unaounga mkono nadharia ya kwamba uhai ulitokea ghafla Duniani kutokana na molekuli fulani, wala hakuna maendeleo ya kisayansi yanayoweza kuthibitisha hilo.”

    Siku zote uhai hutokana na uhai ambao tayari upo. Watafiti wamegundua kwamba ili chembe iendelee kuwa hai, angalau aina tatu tofauti za molekuli tata lazima zifanye kazi pamoja – DNA au deoksiribonyuklia asidi, RNA( ribonucleic acid), na protini. Leo, ni wanasayansi wachache wanaoweza kudai kwamba chembe kamili iliyo hai iliyojitokeza yenyewe kutokana na mchanganyiko wa kemikali zisizo hai.

    Wanasayansi wengi huhisi kwamba huenda uhai ulijitokeza wenyewe kwa sababu ya jaribio fulani lililofanywa kwa mara ya kwanza mwaka 1953. Mwaka huo Stanley L. Miller aliweza kutengeneza asidi – amino, kemikali za msingi zinazofanyiza protini,kwa kupitisha nguvu za umeme ndani ya mchanganyiko wa gesi zilizodhaniwa kuwa zingewakilisha anga la Dunia. Toka wakati huo, asidi – amino zimepatikana pia katika vimondo. Ugunduzi huu haumaanishi kwamba kemikali za msingi za uhai zinaweza kujitokeza zenyewe.

    Robert Shapiro, aliyekuwa profesa wa kemia katika Chuo Kikuu cha New York, anasema, “ Baadhi ya waandishi wameamini kwamba kemikali za msingi za uhai zinaweza kutengenezwa kwa urahisi kwa kutumia majaribio kama yale ya Miller na kwamba zinapatikana katika vimondo. Hata hivyo sivyo ilivyo.” * 1

    Fikiria molekuli ya RNA. Imefanyizwa na molekuli ndogo zinazoitwa nukliotidi. Nukliotidi ni aina tofauti ya molekuli na ni tata zaidi kidogo kuliko asidi – amino. Shapiro anasema kwamba “ hakuna nukliotidi za aina yoyote zinazoripotiwa kuwa zilitokana na majaribio yanayohusu umeme wala katika uchunguzi wa vimondo. Pia anasema kwamba uwezekano wa molekuli kujifanyiza bila mpangilio maalum na kujikusanya toka kemikali nyingi za msingi “ ni mdogo sana hivi kwamba hata kama ungetokea mahali popote katika ulimwengu unaonekana ungeonwa bahati.

    Mtafiti Hubert P. Yockey, anayeunga mkono fundisho la mageuzi ana maelezo zaidi. Anasema: “Haiwezekani kwamba chanzo cha uhai ni ‘protini tu.’”* 2 RNA inahitajika kutengeneza protini, hata hivyo, protini zinahusika katika utengenezaji wa RNA.

    Je, kuna uwezekano wowote kwamba protini na molekuli ya RNA kutokea mahali pamoja kwa wakati uleule na kufanyiza uhai unaoweza kutokeza chembe ambazo zinaweza kuzaa na kuendeleza uhai?

    Yaelekea uwezekano wa jambo hilo kujitokeza lenyewe, kukiwa na mchanganyiko usio na mpangilio maalumu wa protini na RNA, ni mdogo sana, anasema Dkt. Carol Creland ; mshiriki wa NASA ( National Aeronautics and Space Administration’s Astrobilogy Institute).

    1* Profesa Shapiro haamini kwamba uhai ulitokana na Muumba. Anaamini kuwa uhai ulijitokeza wenyewe kwa njia fulani ambayo bado haijaeleweka. Mwaka wa 2009 wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Manchester, Uingereza,waliripoti kwamba wametengeneza nukliotidi katika maabara yao. Hata hivyo, Shapiro anasema kwamba viambatano vyao “bila shaka havifikii viwango vyangu vinavyokubalika vya kutengeneza RNA.”

    2* Dkt. Cleland haamini masimulizi kuhusu uumbaji wa Mungu . Anaamini kwamba uhai ulijitokeza wenyewe katika njia fulani ambayo bado haijaeleweka vizuri.

    UKWELI KUHUSU UCHUNGUZI WA KISAYANSI NA UHAI (UUMBAJI)

    Ukweli wa mambo: Utafiti wote wa kisayansi umeonyesha kwamba uhai hauwezi kujitokeza wenyewe kutokana na kitu kisicho hai.

    Swali : Kuna msingi gani wa kisayansi unaowafanya watu waseme kwamba chembe ya kwanza ilitokana na kemikali zisizo hai?

    Ukweli wa mambo: Wanasayansi wamebuni katika maabara, hali za kimazingira ambazo wanaamini zilikuwako mapema katika historia ya dunia.Katika majaribio hayo, wanasayansi fulani wametengeneza baadhi ya molekuli zinazopatikana katika viumbe hai.

    Swali: Ikiwa kemikali katika jaribio hilo zinawakilisha mazingira ya awali ya dunia na molekuli inayotokezwa inawakilisha chembe za msingi za uhai, mwanasayansi aliyefanya jaribio hilo anawakilisha nani au nini? Je, anawakilisha matukio yaliyojitokeza kiholela au mtu fulani mwenye akili?

    Ukweli wa mambo: Ili chembe iendelee kuwa hai, lazima protini na molekuli ya RNA zishirikiane.Wanasayansi wamekiri kwamba haiwezekani kuwa molekuli ya RNA ilijitokeza yenyewe. Uwezekano
    wa hata protini moja kujitokeza yenyewe ni mdogo sana. Haiwezekani kamwe kwamba molekuli ya RNA na protini zingeweza kujitokeza zenyewe mahali palepale, wakati uleule na ziweze kushirikiana.

    Swali: Ni nini kinachohitaji imani zaidi—kuamini kwamba chembe pamoja na mamilioni ya sehemu zake zinazoshirikiana kwa ustadi wa hali ya juu zilijitokeza zenyewe au kwamba chembe zilibuniwa
    na Muumba mwenye akili?

    chanzo: Jamiiforums

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  11. Asked: May 1, 2019Sayansi

    Mars kuna viumbe hai?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - April 5, 2020 saa 2:56 pm

    kiukweli inasadikika kuwa sayari ya Mars inaviumbe hai lakini mpaka sasa hamna vithibitisho vya kutosha na picha kamili kuhusu mambo hayo  

    kiukweli inasadikika kuwa sayari ya Mars inaviumbe hai lakini mpaka sasa hamna vithibitisho vya kutosha na picha kamili kuhusu mambo hayo

     

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  12. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  13. Asked: January 30, 2020Wagunduzi

    Nawezaje kusajili ugunduzi wangu ili watu wengine wasiutumie bure?

    Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 81 Answers
    • 0 Best Answers
    • 369 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    Jibu - January 30, 2020 saa 5:06 pm

    Kama umegundua kitu ambacho ni kipya kabisa unapaswa kupata itu kinachoitwa 'patent', kwa kiswahili ni hataza Kupitia tovuti kuu ya serikali wameandika hivi Hataza ni haki ya pekee inayotolewa kwa uvumbuzi. Ili kupewa haki hii ya pekee au ulinzi,  ni lazima kuwa na uvumbuzi. Uvumbuzi ni ufumbuzi kwaSoma Zaidi

    Kama umegundua kitu ambacho ni kipya kabisa unapaswa kupata itu kinachoitwa ‘patent’, kwa kiswahili ni hataza

    Kupitia tovuti kuu ya serikali wameandika hivi

    Hataza ni haki ya pekee inayotolewa kwa uvumbuzi. Ili kupewa haki hii ya pekee au ulinzi,  ni lazima kuwa na uvumbuzi. Uvumbuzi ni ufumbuzi kwa tatizo la kiufundi.  Mvumbuzi analindwa dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa ya uvumbuzi wake iwapo uvumbuzi huo umesajiliwa na umepewa hataza. Ulinzi unatolewa kwa kipindi maalumu. Kipindi ni cha miaka 10 kinachoweza kuongezwa kwa vipindi viwili vya miaka 5 baada mwenye hataza kuomba kwa msajili.

    Masharti:

    • Uvumbuzi ni lazima uwe mpya ambao haujawahi kutokea
    • Uwe na matumizi halisi (kutumika kiwandani)
    • Lazima iwe na hatua ya uvumbuzi

     

    Taratibu:

    • Jaza fomu ya maombi nam. 2
    • Ada ya maombi ya 22,000/=
    • Maombi ni lazima yawe na hatimiliki ya uvumbuzi, maelezo ya uvumbuzi, kutaja fani ya kiufundi inayohusu uvumbuzi huo.-
    • Fomu ziwasilishwe kwa msajili wa Hataza; ofisi za BRELA.
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  14. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  15. Asked: December 6, 2019Historia, Sayansi

    Nani wa kwanza kufika mwezini?

    Anonymous
    Jibu - January 19, 2020 saa 2:49 pm

    mwanadamu wakwanza kukanyaga mwezini alikua anaitwa Neil Armstrong na alifanikiwa kwenda na watu wengine ambao walikua ni Rubani  Buzz Aldrin mmnamo mwaka 1969

    mwanadamu wakwanza kukanyaga mwezini alikua anaitwa Neil Armstrong na alifanikiwa kwenda na watu wengine ambao walikua ni Rubani  Buzz Aldrin mmnamo mwaka 1969

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  16. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  17. Asked: January 17, 2020Internet, Teknolojia

    Mtandao wa 4G maana yake nini?

    Anonymous
    Jibu - January 17, 2020 saa 6:40 am

    4G au LTE (Long Term Evolution) ni intaneti mpya yenye kasi na ubora wa kiwango cha juu. Ukiwa na intaneti ya 4G utakuwa na uhakika zaidi wa kuwasiliana na kujiepusha na usumbufu wa kukata kwa intaneti. Kipi cha ziada kwenye 4G LTE 4G ina matumizi mengi zaidi ambayo yanaweza kutumika kwenye simu bilSoma Zaidi

    4G au LTE (Long Term Evolution) ni intaneti mpya yenye kasi na ubora wa kiwango cha juu. Ukiwa na intaneti ya 4G utakuwa na uhakika zaidi wa kuwasiliana na kujiepusha na usumbufu wa kukata kwa intaneti.

    Kipi cha ziada kwenye 4G LTE

    • 4G ina matumizi mengi zaidi ambayo yanaweza kutumika kwenye simu bila kigugumizi.
    • Uwezo wa kubadilishana mafaili na kupaitia vyombo vya habari mtandaoni kwa kasi na kwa wakati.
    • Uwezo wa kufikisha data zinazohitajika ndani ya muda mfupi.sactions.
    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  18. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  19. Asked: May 3, 2019Biashara/Ujasiriamali, Teknolojia

    Nawezaje kupata hela kupitia blog?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - January 2, 2020 saa 10:44 pm

    ilikupata hela kupitia blogs inabidi uweke  ADS katika blogspot yako

    ilikupata hela kupitia blogs inabidi uweke  ADS katika blogspot yako

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Load Majibu Zaidi
Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.