Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
M Pesa Master card inafanyaje kazi?
Calvin Mlay
Ukishachagua bidhaa unazotaka kuweka oda yako kwenye mtandao husika,nenda chini hadi kwenye nembo ya malipo ya Mastercard na chagua hapo, Kisha chukua simu ya Vodacom M-Pesa na fuata hatua zifuatazo Piga *150*00# chagua Lipa kwa M-Pesa Chagua M-Pesa Mastercard Chagua Tengeneza kadi Utapokea ujumbe mSoma Zaidi
Ukishachagua bidhaa unazotaka kuweka oda yako kwenye mtandao husika,nenda chini hadi kwenye nembo ya malipo ya Mastercard na chagua hapo, Kisha chukua simu ya Vodacom M-Pesa na fuata hatua zifuatazo
Hizi tu ndizo taarifa unazohitaji kukamilisha malipo yako mtandaoni. Jaza kwa uangalifu kwenye mtandao husika na utapata ujumbe wa uthibitisho wa malipo yako.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNjia zipi zinatumika kulipia king’amuzi cha Azam?
Salim Jumbe
Njia za kulipia ziko nyingi, unaweza ukalipia kwa Mitandao ua simu kama Airtel Money, Mpesa, Tigopesa au Ezy Pesa. Pia unaweza kulipia kwa wakala wa Azam TV aliye karibu yako au mawakala wa SELCOM, MAX MALIPO au BUTTON PAY eneo lolote nchini.
Njia za kulipia ziko nyingi, unaweza ukalipia kwa Mitandao ua simu kama Airtel Money, Mpesa, Tigopesa au Ezy Pesa. Pia unaweza kulipia kwa wakala wa Azam TV aliye karibu yako au mawakala wa SELCOM, MAX MALIPO au BUTTON PAY eneo lolote nchini.
See less