Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Maisha

Maisha

Maisha ni muda wa uhai wa kiumbe au wa kutumika kwa kitu.

Share
  • Facebook
0
38Answers
33Questions
Home»Maisha»Page 2
Adv
  • Maswali
  • Majibu
  • Majibu mengi
  • Bila jibu
  • Views nyingi
  1. Asked: January 23, 2020Ndoto/Malengo

    Nawezaje kutekeleza malengo niliyojiwekea?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 23, 2020 saa 3:30 pm

    Tabia saba muhimu unazohitaji kuzibadili ili uweze kufanikiwa  Kuyatazama maisha kwa malengo ya muda mfupi Malengo yanayoweza kubadili uelekeo wa maisha yako, mara nyingi, yanahitaji uwezo wa kuyatazama mambo kwa jicho la muda mrefu. Huwezi kufanikiwa kwa kuendeleza mtazamo mfupi. Huwezi kufanikiwaSoma Zaidi

    Tabia saba muhimu unazohitaji kuzibadili ili uweze kufanikiwa 

    Kuyatazama maisha kwa malengo ya muda mfupi

    Malengo yanayoweza kubadili uelekeo wa maisha yako, mara nyingi, yanahitaji uwezo wa kuyatazama mambo kwa jicho la muda mrefu. Huwezi kufanikiwa kwa kuendeleza mtazamo mfupi. Huwezi kufanikiwa kwa kutazama kile unachohitaji leo.

    Kuacha visingizio

    Huwezi kufanikiwa kwa kuwategemea watu wengine watekeleze wajibu wako. Unahitaji kufikiria nafasi uliyonayo wewe katika kufikia malengo yao mwenyewe. Usitegee malengo yako mwenyewe kwa kusubiri watu wengine wafanye.

    Usifanye mambo mengi kwa wakati mmoja

    Huwezi kukimbiza sungura wawili kwa wakati mmoja na ukawapa. Utawakosa wote. Ndivyo ilivyo mara nyingi tunavyotekeleza mipango yetu. Tunataka kufanya mambo yote kwa wakati ule ule. Hasara yake ni kujikuta tukiyafanya mambo yote nusu nusu.

    Jifunze kusema hapana

    Usiwe mwepesi kusema kusema ‘sawa’ kwa mambo yasiyo ya lazima. Mara nyingi ‘sawa’ unazozitoa kwa lengo la kuwaridhisha watu wengine zinaweza kukwamisha malengo yako kwa kiasi kikubwa. Jifunze kusema hapana kwa maombi yanayoingiliana na malengo uliyonayo.

    Jitenge na watu wasiokujenga

    Chagua watu wanaofanana na malengo yako. Tafuta watu wanaoyaishi malengo uliyonayo. Kama unataka kuwa na familia imara mwaka huu, jenga urafiki na watu wenye familia imara. Utajifunza kwao. Kama unataka kufanya biashara fulani, jenga urafiki na watu wanaofanya biashara hiyo.

    Usitumikishwe na mitandao ya kijamii

    Katika mazingira haya, ni rahisi kupoteza muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii. Tafiti zinazonesha kuwa watu wengi wanapoteza muda mwingi kwenye mitandao hii. Mrejesho wa papo kwa hapo unaowezeshwa na mitandao hii, unajenga utegemezi. Ni aina fulani ya ulevi.

    Usikate tamaa unaposhindwa

    Wakati mwingine tunashindwa kutekeleza malengo yetu kwa sababu tunakuwa wepesi kukataa tamaa mambo yanapokwenda vile tusivyotarajia. Tabia hii ya kughairi mambo kirahisi haiwezi kukusaidia kutekeleza mipango yako. Jifunze kuwa imara hata pale mambo yanapoharibika.

    Ukitaka kusoma makala haya kwa urefu zaidi Soma hapa

    See less
    • 2
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Asked: January 18, 2020Kazi/Ajira, Maisha

    Kuna faida gani katika kujitolea?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 18, 2020 saa 8:36 am

    Kujitolea ni kutoa sehemu ya muda wako, ujuzi na maarifa uliyonayo na wakati mwingine nguvu zako kufanya kazi ya watu wengine bila kupata malipo ya moja kwa moja. Tuangalie kwa mhutasari kwa nini ni muhimu kujenga tabia ya kujitolea. Kusaidia kutatua matatizo ya jamii Kujitolea, kwa mantiki hii, niSoma Zaidi

    Kujitolea ni kutoa sehemu ya muda wako, ujuzi na maarifa uliyonayo na wakati mwingine nguvu zako kufanya kazi ya watu wengine bila kupata malipo ya moja kwa moja. Tuangalie kwa mhutasari kwa nini ni muhimu kujenga tabia ya kujitolea.
    Kusaidia kutatua matatizo ya jamii
    Kujitolea, kwa mantiki hii, ni kuelewa kuwa si lazima ubadilishane ujuzi na muda wako kwa vipande vya fedha. Wakati mwingine waweza kutoa ujuzi, maarifa na nguvu zako kwa lengo tu la kujisikia furaha ya kutoa mchango wako katika kuboresha maisha ya wengine ambao katika hali ya kawaida wasingeweza kunufaika na ujuzi huo bila kukulipa.
    Kujifunza ujuzi bila gharama
    Katika mazingira haya, kujitolea hutusaidia kujifunza ujuzi mahususi tunaouhitaji ili kuajirika kirahisi  bila kulazimika kuulipia kwa fedha isipokuwa kwa kutumia nguvu na muda wetu. Kwa mfano, mhitimu wa teknolojia ya mawasiliano anaweza kujitolea kufanya kazi katika kampuni ya mawasiliano na hivyo kujifunza mambo mengi ambayo huenda hakujifunza akiwa chuoni. Kwa kutoa muda na nguvu zake bila kutarajia malipo, mhitimu huyu hupata faida ya kujiongezea nafasi ya kuajirika pale nafasi za kazi zinapojitokeza.
    Kujitafutia uzoefu unaohitajika
    Ni vyema kutambua kuwa waajiri huvutiwa na mwombaji kazi aliyetayari kujitolea. Mwombaji mwenye historia ya kujitolea muda na ujuzi wake kuwanufaisha wengine anakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kushindana na wenzake wasiojitolea. Kujitolea kwaweza kuwa namna ya kuongeza uwezekano wa kuajirika.
    Kujiongezea mtandao wa kiajira
    Kujitolea kwaweza kumsaidia mtafuta ajira wa aina hii kujiongeza kimtandao. Unapokuwa tayari kufanya kazi za kujitolea kwa bidii na maarifa katika maeneo mbalimbali, mathalani, unakutana na watu wa kada na wenye uzoefu tofauti. Ingawa ni kweli hupati kipato unachokihitaji (sana) kwa wakati huo, lakini bado unakuwa na fursa ya kujitengenezea mtandao muhimu wa watu wanaoweza kukufaa katika safari yako ya kutafuta ajira.
    Soma kwa urefu zaidi hapa

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Asked: June 14, 2019Maisha

    Sms nzuri za ujumbe wa maisha ni zipi?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 18, 2020 saa 8:23 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Sms za ujumbe wa maisha Usisubiri kesho... Ishi leo... Kwa sababu Kesho huwa haifiki -------------------------- Nyota haziwezi kung'aa bila giza... Maisha hayawezi kung'aa bila maumivu... -Usikate tamaa ---------------------------------------------------- mafanikio ni gari matairi yanaitwa "BIDII" lSoma Zaidi

    Sms za ujumbe wa maisha

    Usisubiri kesho…

    Ishi leo…

    Kwa sababu
    Kesho huwa haifiki

    ————————–
    Nyota haziwezi kung’aa bila giza…

    Maisha hayawezi kung’aa bila maumivu…

    -Usikate tamaa
    —————————————————-
    mafanikio ni gari

    matairi yanaitwa

    “BIDII”

    lakini safari haiwezekani

    bila mafuta yanayoitwa

    “KUJIAMINI”
    ———————————-
    Uamuzi sahihi unaongeza kujiamini

    “na”

    Maamuzi yasiyo sahihi yanaongeza uzoefu

    Kwa hiyo hakuna haja ya kuwaza lolote kati ya hayo
    ————————————————————–
    kuwa na wasiwasi hakuondoi matatizo ya kesho

    baadala yake kunaondoa amani ya leo

    kwa hiyo acha kuwa na wasiwasi

    tabasamu endelea na maisha

    See less
    • 39
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  7. Asked: January 10, 2020Biashara/Ujasiriamali, Maendeleo, Maisha

    Nitaanza vipi kama sina mtaji wowote?

    Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    Jibu - January 10, 2020 saa 12:45 pm
    Jibu hili limerekebishwa.

    Kupitia Bwaya blog mwandishi anasema hivi "Ni vizuri kuanza na kile ulichonacho, na si kile usichonacho. Fursa mara zote, huwa pale ulipo na katu si kule ulipokuwaga.   Suala la msingi ambalo kila mmoja anapaswa kuliweka sawa, si kile ambacho angeweza kukifanya kama angekuwa na muda, elimu na nSoma Zaidi

    Kupitia Bwaya blog mwandishi anasema hivi
    “Ni vizuri kuanza na kile ulichonacho, na si kile usichonacho.
    Fursa mara zote, huwa pale ulipo na katu si kule ulipokuwaga.
     
    Suala la msingi ambalo kila mmoja anapaswa kuliweka sawa, si kile ambacho angeweza kukifanya kama angekuwa na muda, elimu na namna ya kufanya, lakini kile ambacho angepaswa kukifanya kwa kutumia vile alivyonavyo.”
     
    Kuweka sawa zaidi ni kwamba inabidi uanze kwa kuangalia ulichonacho(hauwezi kukosa) mfano elimu, sio lazima iwe elimu ya darasani. Unaweza anza na ujuzi ulionao labda kama ujuzi wa kufundisha, kuongea na watu vizuri ama chochote kile.
    Pia unaweza kuangalia vitu ulivyowahi kununua, watu unaojuana nao au vitu vinavyopatikana kwa urahisi au vilivyo karibu nawe.
     
    Anza sasa na ulichonacho, fikiria ‘version’ ndogo ya ile ndoto kubwa uliyonayo mfano anza kutengenezea keki nyumbani kama una ndoto ya kuanzisha bakery.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  9. Asked: February 1, 2019Afya, Maisha

    Nitafanyaje nipate usingizi haraka?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - December 14, 2019 saa 2:36 pm
    Jibu hili limerekebishwa.

    Kuna vitu vichache ambavyo husaidia watu kupata usingizi wakati wa kulala vitu hivyo ni; 1}Kulala sehemu safi na salama 2}Kulala kwenye chumba chenye madirisha makubwa na yanayo ingiza hewa safi vizuri na kwa wingi 3}Hakuna kitu kinacho burudisha kama mziki,Unashahuriwa usikilize mziki wa taratibu wSoma Zaidi

    Kuna vitu vichache ambavyo husaidia watu kupata usingizi wakati wa kulala vitu hivyo ni;
    1}Kulala sehemu safi na salama
    2}Kulala kwenye chumba chenye madirisha makubwa na yanayo ingiza hewa safi vizuri na kwa wingi
    3}Hakuna kitu kinacho burudisha kama mziki,Unashahuriwa usikilize mziki wa taratibu wakati wa usiku itakusaidia kwa haraka
    4}Kitu kingine ni kwamba ujaribu kulala sehemu yenye mwanga hafifu (mwaga mdogo
    5}Kitu cha mwisho ni kusali,kumshukuru MUNGU na kumuoba kwa mengi zaidi 

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  11. Asked: February 4, 2019Maisha

    Nifanyeje ili nisikate tamaa?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - December 8, 2019 saa 6:36 pm

    Kitu ambacho unatakiwa kufanya ili usikate tamaa ni inabidi ujaribu kufanya kitu kile unacho kipenda muda wote

    Kitu ambacho unatakiwa kufanya ili usikate tamaa ni inabidi ujaribu kufanya kitu kile unacho kipenda muda wote

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  12. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  13. Asked: May 1, 2019Maisha

    Unajua bei ya godoro 4×6?

    Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 700 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    Jibu - December 8, 2019 saa 5:50 pm

    Tembelea katika website ya ZoomTanzania na utaweza kujua mengi zaidi kuhusu bidhaa mbalimbali

    Tembelea katika website ya ZoomTanzania na utaweza kujua mengi zaidi kuhusu bidhaa mbalimbali

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  14. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  15. Asked: April 22, 2019Elimu, Maisha

    Ni namna gani ya kuongeza iq ya mtu?

    Edutan

    Edutan

    • Tanzania
    • 1 Question
    • 10 Answers
    • 0 Best Answers
    • 55 Points
    View Profile
    Edutan Intermediate
    Jibu - August 12, 2019 saa 3:24 pm
    Jibu hili limerekebishwa.

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema "Tunahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na sio IQ kubwa" Hii ni kwa sababu IQ hupimwa kwa mitihani ambayo unaweza kuifanyia mazoezi na ukafanya vizuri katika mitihani hiyo Mwandishi huyo alipendekeza njia 70 za kukuwezesha kuongeza uwezo wa kukumbuka na sio iq. SSoma Zaidi

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Tunahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na sio IQ kubwa”

    Hii ni kwa sababu IQ hupimwa kwa mitihani ambayo unaweza kuifanyia mazoezi na ukafanya vizuri katika mitihani hiyo

    Mwandishi huyo alipendekeza njia 70 za kukuwezesha kuongeza uwezo wa kukumbuka na sio iq.

    Soma njia hizo (kwa lugha ya kiingereza)

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  16. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  17. Asked: March 29, 2019Maisha

    Uovu ni nini?

    Julius Joseph
    Jibu - May 27, 2019 saa 2:18 pm

    Uovu ni jambo ambalo ni baya sana kimaadili. Mara nyingi humaanisha jambo linalodhuru, lenye nia mbovu, au lenye uvutano unaoharibu. Maana nyingine kwa kuangalia katika Biblia, uovu ni dhambi iliyokomaa na kuwa ya kujirudiarudia kwa mhusika Isaya 59:2 " lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na MUNSoma Zaidi

    Uovu ni jambo ambalo ni baya sana kimaadili. Mara nyingi humaanisha jambo linalodhuru, lenye nia mbovu, au lenye uvutano unaoharibu.

    Maana nyingine kwa kuangalia katika Biblia, uovu ni dhambi iliyokomaa na kuwa ya kujirudiarudia kwa mhusika

    Isaya 59:2 ” lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na MUNGU wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.”

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  18. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  19. Asked: April 17, 2019Maisha

    Kitu gani kimekushangaza leo?

    John Ndunguru
    Jibu - April 17, 2019 saa 8:45 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Katika pitapita zangu nimeiona hii video, kwa kweli sikuwa nategemea kuwa mabasi huwa yanaondoka hivi asubuhi.

    Katika pitapita zangu nimeiona hii video, kwa kweli sikuwa nategemea kuwa mabasi huwa yanaondoka hivi asubuhi.

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Load Majibu Zaidi
Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.