Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Inawezekana kutoa pesa M Pesa kwa kutumia ATM za CRDB?
Salim Jumbe
Inawezekana Kutoa pesa kwenye ATM za benki ya CRDB kwa njia ya M Pesa fuata hatua hizi Sehemu ya 1 1. Piga *150*00# kisha chagua "Toa Pesa" 2. Ingiza namba ya wakala ambayo ni 999999 kwa ATM zote za benki ya CRDB 3. Ingiza namba yako ya siri ya M Pesa Utapokea SMS yenye vocha ya tarakimu 6 unayopaswSoma Zaidi
Inawezekana
Kutoa pesa kwenye ATM za benki ya CRDB kwa njia ya M Pesa fuata hatua hizi
Sehemu ya 1
1. Piga *150*00# kisha chagua “Toa Pesa”
2. Ingiza namba ya wakala ambayo ni 999999 kwa ATM zote za benki ya CRDB
3. Ingiza namba yako ya siri ya M Pesa
Utapokea SMS yenye vocha ya tarakimu 6 unayopaswa kutumia ndani ya dakika 5 kwenye ATM
Sehemu ya 2
See lessUwapo kwenye ATM fata hatua hizi
1. Bonyeza kitufe cha M-Pesa kinachoonekana kwenye screen ya ATM
2. Chagua lugha
3. Weka namba ya simu
4. Ingiza namba za vocha ulizopokea kwenye ujumbe wa sehemu ya kwanza
5. Weka kiasi unachohitaji
6. Chukua fedha zako na risiti