Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kuomba cheti cha kuzaliwa tena kama kimepotea?
Salim Jumbe
Fika katika ofisi za RITA ukiwa na maelezo sahihi yafuatayo: Jina la mtoto Jina la baba. Jina la mama. Mahali pa kuzaliwa. Tarehe sahihi ya kuzaliwa na usajili. Tarehe kilipotolewa iwapo kuna uwezekano. Nakala ya cheti hicho kama ipo. Ada halisi ya Tsh. 3500/=
Fika katika ofisi za RITA ukiwa na maelezo sahihi yafuatayo:
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kupata cheti changu cha kuzaliwa ikiwa umri wangu umeenda?
Salim Jumbe
Unaweza kupata cheti chako cha kuzaliwa hata kama miaka yako imeenda sana. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea ofisi za RITA zilizopo mkoani mwako na kuomba kujaza fomu kwa ajili ya kupata cheti chako au unaweza kujaza Fomu ya B3.
Unaweza kupata cheti chako cha kuzaliwa hata kama miaka yako imeenda sana.
Unachotakiwa kufanya ni kutembelea ofisi za RITA zilizopo mkoani mwako na kuomba kujaza fomu kwa ajili ya kupata cheti chako au unaweza kujaza Fomu ya B3.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaCheti changu cha kuzaliwa kina majina tofauti na vyeti vingine, nifanyeje?
Calvin Mlay
Tatizo hili wanalo wengi ila hawazingatii mpaka cheti kikataliwe katika ofisi mfano wakati wa udahili wa chuo kikuu. Wahi sasa, tembelea ofisi za NIDA iliyopo karibu nawe kupata utaratibu wa namna ya kubadilisha majina katika cheti cha kuzaliwa.
Tatizo hili wanalo wengi ila hawazingatii mpaka cheti kikataliwe katika ofisi mfano wakati wa udahili wa chuo kikuu.
Wahi sasa, tembelea ofisi za NIDA iliyopo karibu nawe kupata utaratibu wa namna ya kubadilisha majina katika cheti cha kuzaliwa.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKama mtanzania amezaliwa akiwa nje ya nchi, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania?
Flora Jumanne
RITA wanasema hivi "Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo."
RITA wanasema hivi “Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo.”
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania kama nipo nje ya nchi?
Salim Jumbe
Cheti cha kuzaliwa ni waraka muhimu na halisi unaoandikwa kwenye rejesta ya vizazi ya nchi alikozaliwa mtoto. Cheti hicho kina taarifa kama vile mahali, mwaka, mwezi, siku, tarehe na wakati alipozaliwa motto. Waraka huu ni muhimu na wenye manufaa ni utambulisho wa kujua utaifa na umri wa mtu. MasharSoma Zaidi
Cheti cha kuzaliwa ni waraka muhimu na halisi unaoandikwa kwenye rejesta ya vizazi ya nchi alikozaliwa mtoto. Cheti hicho kina taarifa kama vile mahali, mwaka, mwezi, siku, tarehe na wakati alipozaliwa motto. Waraka huu ni muhimu na wenye manufaa ni utambulisho wa kujua utaifa na umri wa mtu.
Masharti:
Taratibu:
Chanzo: Tovuti ya serikali
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUtaratibu wa kupata cheti cha kuzaliwa kwa watoto uko vipi?
Salim Jumbe
Kwa mujibu wa sheria, vizazi ni lazima viandikishwe ndani ya siku 90 za kutokea kwake. Hata hivyo sheria inaruhusu usajili wa baadaye. Muhimu: Iwapo mtoto amezaliwa hospitali, vituo vya afya na zahanati, hakikisha kuwa unapata tangazo la kizazi. Iwapo mtoto amezaliwa nyumbani, toa taarifa kwa ofisaSoma Zaidi
Kwa mujibu wa sheria, vizazi ni lazima viandikishwe ndani ya siku 90 za kutokea kwake. Hata hivyo sheria inaruhusu usajili wa baadaye.
Muhimu:
Iwapo mtoto amezaliwa hospitali, vituo vya afya na zahanati, hakikisha kuwa unapata tangazo la kizazi.
Iwapo mtoto amezaliwa nyumbani, toa taarifa kwa ofisa mtendaji wa kijiji au msajili wa wilaya wa vizazi na vifo ili upate tangazo la kizazi. Hii ni lazima ifanyike ndani ya siku 90.
Taratibu za kufuata kupata cheti:
Wasilisha tangazo la kizazi kwa msajili wa vizazi na vifo wa wilaya ambako kizazi kimetokea.
See lessLipa ada inayotakiwa kwa ajili ya cheti (kwa sasa ada ni Tsh. 3500/=).