Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje ku design blog inayolipa?
ChuiTec
Ku design blog ni kitu kimoja na kupata pesa kupitia blog ni kitu kingine. Kuhusu namna ya kutengeneza blog soma hii Nawezaje kuunda blog?. Tuje katika swala la kuifanya iwe inalipa. Kwanza lazima ujue njia utakayotumia kupata pesa kupitia blog yako. Wengi wanaoanzisha blog huanzisha kwa kutegemea kSoma Zaidi
Ku design blog ni kitu kimoja na kupata pesa kupitia blog ni kitu kingine. Kuhusu namna ya kutengeneza blog soma hii Nawezaje kuunda blog?.
Tuje katika swala la kuifanya iwe inalipa.
Kwanza lazima ujue njia utakayotumia kupata pesa kupitia blog yako. Wengi wanaoanzisha blog huanzisha kwa kutegemea kuwa watatumia matangazo kutoka Google(Adsense). Njia hii ndio rahisi zaidi, ila ni lazima kuzingatia yafuatayo kabla ya kuanza
Ukiacha Adsense ambayo ndio njia bora ya kuingiza kipato kwa kutumia blog pia unaweza kutumia matangazo kutoka sehemu nyingine kama SeeBait, Proppeller na Adsterra
Kama ungependa kuuliza chochote bonyeza HAPA
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kununua domain name kwa ajili ya blog yangu?
ChuiTec
Kununua domain name ni rahisi tu. Kuna vitu unapaswa kuwa navyo kabla ya kununua. Kitu cha kwanza ni pesa ya kulipia kwa mwaka wa kwanza (kwa makadirio ni Tsh 30,000). Kingine ni njia ya kulipia, hapa unaweza tumia Master au Visa card au Njia za malipo za mtandao kama TigoPesa na MPesa. Kingine unacSoma Zaidi
Kununua domain name ni rahisi tu. Kuna vitu unapaswa kuwa navyo kabla ya kununua.
Kitu cha kwanza ni pesa ya kulipia kwa mwaka wa kwanza (kwa makadirio ni Tsh 30,000). Kingine ni njia ya kulipia, hapa unaweza tumia Master au Visa card au Njia za malipo za mtandao kama TigoPesa na MPesa.
Kingine unachotakiwa kufahamu ni jina yani domain name unayotaka kama lipo au la. Mfano unaweza kuwa unataka mojasky.com na ukakuta kuwa jina hilo limeshachukuliwa hivyo inatakiwa kuchagua jina jipya ambalo bado halijatumika.
Ukiwa tayari katika hayo hapo juu. Unaweza kufanya yafuatayo. Ingia Kilihost alafu bonyeza kwenye Choose Another Category alafu chagua Register Domain. Hapo utaweka jina unalotaka kununua, utachagua kama unahitaji .com .net au .co.tz. Utamalizia kwa kufata hatua zilizobaki kulipia jina unalohitaji.
Kufahamu sehemu nyingine za kupata domain name tembelea ChuiTec
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kuunda blog?
ChuiTec
Kutengeneza blog ni rahisi sana. Kitu cha kwanza inatakiwa uwe unajua unahitaji blog ya aina gani na ni kwa ajili ya nini. Kama ni kwa ajili ya kuchapisha maswala binafsi tu au kwa ajili ya kujifurahisha unaweza tumia Blogger. Blogger ni njia rahisi ya kutengeneza blog bila hata kuwa na ujuzi wowoteSoma Zaidi
Kutengeneza blog ni rahisi sana. Kitu cha kwanza inatakiwa uwe unajua unahitaji blog ya aina gani na ni kwa ajili ya nini. Kama ni kwa ajili ya kuchapisha maswala binafsi tu au kwa ajili ya kujifurahisha unaweza tumia Blogger.
Blogger ni njia rahisi ya kutengeneza blog bila hata kuwa na ujuzi wowote. Ila kama una ujuzi kidogo (html&css) itakua faida kwako. Kuunda blog kwa kutumia blogger nenda blogger.com au unaweza kupata ushauri wa bure HAPA.
Kama ni kwa ajili ya biashara au unahitaji kuwa siriazi na kutengeneza pesa kupitia blog, nakushauri utumie WordPress. Hii ni njia nyingine rahisi ya kutengeneza blog au website yoyote hata kama hauna ujuzi mkubwa. Ila tofauti ya njia hii na hiyo hapo juu ni kuwa hii unapaswa kulipia hosting na domain name. Malipo yake yanaweza kuanzia Tsh 100,000 kwa mwaka.
Sababu za kwa nini utumie njia hii ni kuwa utatengeneza blog inayoonekana professional na itakuwa rahisi kupata watumiaji wengi kwa sababu wordpress ina mfumo mzuri wa kupata watumiaji kutokea search engine kama Google
Unaweza kupata ushauri bure kabisa HAPA
See less