Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 34571
In Process
Anonymous
Asked: January 12, 20202020-01-12T06:24:34+03:00 2020-01-12T06:24:34+03:00

Taratibu za udahili katika Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji ni zipi

Taratibu za udahili katika Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji ni zipi
  • 1
  • 490
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 82 Answers
    • 0 Best Answers
    • 379 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    2020-01-12T06:33:21+03:00Jibu - January 12, 2020 saa 6:33 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Chuo cha Maji (WI) ni Wakala ya utendaji ya serikali katika Wizara ya Maji na Umwagiliaji iliyoanzishwa kukidhi mahitaji ya wataalam wa maji.

    Shahada ya Kwanza ya Miaka Minne ya Uhandisi wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji(Bachelor of Engineering in Water Resources and Irrigation)

    • Kiwango cha chini cha sifa ya udahili kujiunga na Shahada ya Kwanza ni Diploma ya Juu katika  Rasilimali za Maji na Uhandisi wa Umwagiliaji.
    • Cheti cha Kuzaliwa(Higher Diploma in Water Resources and Irrigation Engineering).
    • Vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari na au kidato cha sita
    • Diploma ya Kawaida ya Uhandisi  katika Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira, Haidrolojia na Uchimbaji wa Visima, Haidrolojia na Utabiri wa Hali ya Hewa, Teknolojia ya Maabara ya Maji, Uhandisi Ujenzi, Uhandisi wa Umwagiliaji na nyanja nyingine zinazohusiana na Uhandisi Ujenzi au Uhandisi wa Rasilimali za Maji yenye  jumla ya alama za Ufaulu 2.7

     

    Diploma ya Kawaida ya Miaka Mitatu                                                        

    • Cheti kamili cha Ufundi (FTC) katika Uhandisi wa Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira
    • Haidrojiolojia na Uchimbaji Visima, Haidrolojia na Utabiri wa Hali ya Hewa, Teknoloji ya Maabara ya Maji, Uhandisi Ujenzi, Uhandisi wa Umwagiliaji na nyanja nyingine zinazohusiana  na Uhandisi Ujenzi au Uhandisi wa Rasilimali za Maji chenye ufaulu wa wastani wa Alama 3.0 kwa ulinganishi wa: A=5; B=4; C=3, D=2
      Cheti cha Kidato cha Sita (ACSE) chenye ufaulu wa somo kuu katika Hisabati na Fizikia na ufaulu wa somo dogo katika Kemia au Jiografia yenye jumla ya Alama 3.5 kwa ulinganishi wa: A=5, B=4,
      C=3, D=2, E=1, S=0.5 na F=0

    Cheti cha Mwaka Mmoja:

    • Masharti ya programu yoyote ya Cheti ni sawa na programu za diploma.
    • Muda wa masomo ya Cheti ni mwaka mmoja wa masomo

     

    Taratibu:                                     

    •  Pakua fomu ya maombi kutoka kwenye tovuti ya Chuo.
    • Ada ya maombi ni lazima ilipwe kupitia Benki.
    • Viambatisho vyote vikiwemo vyeti vya masomo na hati ya kulipia Benki ni lazima viambatishwe pamoja na fomu za maombi.
    • Fomu ya maombi iliyojazwa kwa ukamilifu ni lazima irudishwe kwenye Ofisi ya Msajili wa Chuo, Jengo la Utawala, Kampasi ya Chuo Ubungo, Barabara ya Chuo Kikuu, kuchepuka Barabara ya Sam Nujoma, Dar es salaam.

     

    Chanzo: Tovuti ya Serikali

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Smartphone mpya ya Samsung kwa Tsh 220,000 Tu

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.