Taratibu za kupata passport ya kusafiria ziko vipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Pasipoti ni hati inayotolewa na serikali ili kumwezesha raia wake aweze kusafiri nje ya mipaka ya nchi kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi anayokwenda au kupitia. Licha ya kuwa pasipoti hutolewa kwa jina na maelezo mengine yanayomhusu mwombaji, hati hiyo hubaki kuwa ni mali ya serikali.
Masharti:
mzazi au wazazi
walezi wawasilishe ridhaa ya maandishi.
Taratibu:
Zingatia: Mbali na masharti hayo ya jumla yapo maelelzo ya viambatanisho maalum kutokana na aina ya safari kama ilivyoainishwa nyuma ya fomu ya ombi la pasipoti.