Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 34742
In Process
Adv
Anonymous
Asked: January 20, 20202020-01-20T06:18:06+03:00 2020-01-20T06:18:06+03:00Biashara/Ujasiriamali, Redio, Tanzania, Tv

Taratibu za kiserikali za kuzingatia kabla ya kuanzisha redio au TV Tanzania ukoje?

Taratibu za kiserikali za kuzingatia kabla ya kuanzisha redio au TV Tanzania ukoje?
  • 1
  • 432
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 432 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2020-01-20T06:25:39+03:00Jibu - January 20, 2020 saa 6:25 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Utangazaji ni utawanyaji wa taarifa za redio na video kwa hadhira ya mbali iliyosambaa kupitia njia yoyote ya mawasiliano na umma ya redio au picha, lakini ni ile inayohusu mawimbi ya umeme na sumaku (mawimbi ya redio) kwa hiyo, leseni ya utangazaji ni aina ya leseni ya spectra inayotoa idhini ya leseni ya kutumia sehemu ya spectra ya masafa ya redio/ TV katika eneo fulani la kijiografia kwa madhumuni ya utangazaji.
    Ukiachana na maswala ya kodi kutoka TRA na mengine mambo muhimu ya kuzingatia ni haya
    Masharti na Kanuni:

    • Kampuni ni lazima iwe na angalau na hisa 51% zinazomilikiwa na wananchi
    • Mtu haruhusiwi kurusha, kupokea au kuendesha shughuli za utangazaji bila ya leseni ya huduma ya utangazaji
    • Tume itaangalia manufaa ya mmiliki moja juu ya mwingine

    Taratibu:

    • Omba kwenye Tume
    • Ambatisha  ombi kwa Tume
    • Wasilisha ada iliyoelezwa kwa Tume  (Hairudishwi)
    • Mpango wa mtandao na programu ya mafunzo yanayohusisha wafanyakazi wa nchini
    • Uthibitisho wa uwezo wa fedha za kuendeshea huduma ya utangazaji
    • Toa taarifa  kwa Tume kadiri itakavyoonekana inafaa
    • Tume itachapisha notisi kwenye gazeti la serikali/ magazeti ya Tanzania kuhusu utoaji wa leseni
    • Katika muda wa siku 14 za kuchapisha notisi, mtu yoyote anaruhusiwa kuweka pingamizi ya utolewaji wa leseni
    • Notisi ya uamuzi itachapishwa pia kwenye Gazeti la serikali na magazeti mengine yoyote
    • Wakati Tume itakapoamua kutoa maombi ya leseni, itaambatisha masharti ya leseni.

    Tume inayoongelewa hapo ni TCRA
    chanzo:Tovuti kuu ya serikali

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Vipindi vya Clouds fm vya habari za michezo ni vipi?

    • VAT Tanzania ni asilimia ngapi?

    • Masharti ya kuanzisha duka la dawa yakoje?

    • Kirefu cha TV ni nini?

    • Nawezaje kulipia Wasafi TV?

    • Taratibu za serikali za kuchimba kisima zikoje?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.