Tanzania ina madini mbuga za wanyama milima ya kuvutia na watalii ni wengi je, unafikiri hizo pesa ziko kwa nani na wakati tunapambana kuufuta umasikini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Tanzania ina madini mbuga za wanyama milima yakuvutia na watalii niwengi je, unafikiri hizo pesa ziko kwanani na wakati tunapambana kuufuta umasikini?
Swali lako la kichonganishi kweli!. Muulizaji wa swali unaonekana jicho lako linaona fursa kama hela iliyo tayari lakini inabidi ukumbuke kuwa fursa kama fursa si pesa bali utumiaji mzuri wa fursa unaweza kuleta hela.
Kwa maana hiyo, pesa hizo hazipo kwa mtu bali tunashindwa kupata timu ya viongozi sahihi wenye muunganiko bora katika kufanya kazi hiyo ya kugeuza fursa zilizopo Tanzania kuwa utajiri kwa manufaa yetu watanzania.
Lakini kuna dalili nzuri kuwa tunaanza kuamka na kufanya yale yanayotakiwa ili tufanikiwe. Uzalendo kwanza!