Soma Biblia Tanzania inafanya kazi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Emmanuel Magessa
SOMA BIBLIA ni
Jamii ya wakristo nchini Tanzania.
Inajihusisha na uchapaji na usambazaji vitabu .
Ni shirika lisilo la kiserikali na shirika la misaada isiyohusiana na siasa.
Lengo kubwa ni kusambaza injili kuhusu Yesu Kristo kwa watu wote wanaozungumza lugha ya Kiswahili.