Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 31225
In Process
Pinned
RickyllobbeProffesional
Asked: May 5, 20192019-05-05T18:21:56+03:00 2019-05-05T18:21:56+03:00Internet

Social networks zina faida gani miongoni mwa watu?

Social networks zina faida gani miongoni mwa watu?
  • 1
  • 363
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Faustine John

    Faustine John

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 16 Questions
    • 81 Answers
    • 0 Best Answers
    • 283 Points
    View Profile
    Faustine John Expert
    2020-11-17T11:36:16+03:00Jibu - November 17, 2020 saa 11:36 am

    Faida za mitandao ya kijamii (social networks):

    • Mitandao ya kijamii inawasaidia watu kutengeneza mahusiano mapya kati ya ndugu na marafiki na pia inaongeza mawasiliano kati ya mtu na mtu na hivyo kuboresha mahusiano
    • Mitandao ya kijamii sasa imefungua mlango mpya kabisa wa chombo kingine cha habari. Imewafanya watu waweze kutuma ujumbe mfupi wa maandishi bure, watu wameza kublogu kama hivi, michezo ya mitandaoni, watu wameweza kubadilishana picha na habari mbalimbali kupitia mitandao hii ya kijamii
    • Mitandao ya kijamii imesaidia kuwaleta watu pamoja wenye mitizamo inayofanana. Mitizamo ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni, kimapenzi, kimichezo n.k. Watu ambao wamekuwa na matatizo ya kuongea siku hizi wanajisikia raha sana kuwasiliana na watu kupitia mitandao ya kijamii. Imekuwa ni uwanja mzuri wa watu kujionyesha kwa kile alicho nacho moyoni mwake na kukifikisha kwenye jamii
    • Baadhi ya watumiaji wa mitandao hii ya kijamii wamekuwa wakiitumia kutafuta hata kazi, wanafunzi wamekuwa wakiitumia kufanya majadiliano ya kimasomo mitandaoni, wanaharakati wametumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukutana na kuendesha harakati zao mitandaoni. Vyuoni hususai wamekuwa wakiendesha harakati zao kupitia mitandao ya kijamii. Tulishuhudia majuzi tu kwenye mgomo wa madaktari pale ambapo serikali ilipopiga marufuku mikutano ya madaktari, madaktari walibadilisha upepo wa mikutano ya uso kwa uso na kurudi kuwa mikutano ya mitandaoni
    • Baadhi ya watu wameitumia mitandao ya kijamii kupunguza misongo ya mawazo kwa kuwasiliana na watu mbali mbali na kujikuta wamefarijika katika matatizo walonayo. Wataalamu wa saikolojia wanashauri mtu anapokuwa na matatizo ni vema akaishirikisha jamii ili kupunguza mzigo wa kuchukua matatizo peke yake.
    • Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa ikipanua wigo wake wa mawasiliano kutoka kuwa mitandao ya kijumla  na kuwa bayana zaidi. Kwa mfano watu wamekuwa wakitengeneza makundi ya fani fulani fulani ambapo inawasaidia wataalamu wa fani hiyo kukutana pamoja mtandaoni na hata kuongeza wigo wa kukutana uso kwa uso. Na hii imesaidia watu ambao wamekuwa wanataka kuingiza kwenye makundi ya fani hizo waweze kujumuika nao pamoja

     

    credit : Teknolojia Yetu Blog

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Unaizungumziaje Bluehost katika kutengeneza website?

      • Majibu 0
    • Kuna hosting za bure?

      • Jibu 1
    • Hosting bora zaidi ni ipi?

      • Jibu 1
    • Waptrick ni nini?

      • Majibu 0
    • Yinga Media ni nini?

      • Majibu 0
    • Nawezaje kununua domain name kwa ajili ya blog yangu?

      • Jibu 1
    • Kampuni gani ya hosting ni nzuri Tanzania?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kutengeneza website kwa kutumia WordPress?

      • Jibu 1
    • Mtandao wa 4G maana yake nini?

      • Jibu 1
    • Mambo gani ya kuzingatia katika kuomba kazi serikalini kwa njia ya mtandao?

      • Jibu 1

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.