Sms zipi nzuri za urafiki?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
rafiki mtamu ni kama mto,ukichoka unalala juu yake akihuzunika unadondosha chozi juu
yake,ukifurahi unamkumbatia mungu akulinde na kukujibu haja zako daima.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
waridi jeusi kwa adui pink kwa rafiki maalum,njano kwa kila lakheri ,jeupe kwa amani
jekundu kwa mapenzi je?wewe utanipa lipi?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nipe kile ambacho nakihitaji,nipe nami niridhike,nipe bila ya kufikiria,nipe bila ya
kujutia,nipe kwa kuzingatia,nipe kwa kufurahia,nipe nipate tulia,nipe nami nikupe..sio
kingine ila ni salamu tu.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Leo lazima nikupe ukweli wako hata ikuchome poa tu,ikuhuzunishe sitojali,ukinunia
milele safi tu,ukizimia shwari si kuwa nakuogopa vile upo mbali wala!hata tukiwa karibu
nitakuambia tu,maana umezidi kila siku nilikuwa nasahau kukwambia kwamba ni mmoja
ya watu ninaowapenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Anayekujulia hal
”AMEKUWAZA”
anayekuwaza
”AMEKUMBUKWA’
anayekumbukwa
”ANAKUPENDA”
anayekupenda
”ANAJUA THAMAN YAKO.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nilichomeka ukachomoa ukadai hujazoea,nilitaka kuchomeka tena ukawa umeshkilia
hutaki nichomeke,ikabidi nikuvizie ukiwa umelala,uliposhtuka ukakuta nmechomeka
ukaamua kuchomoa tena ,hapo nikaamua nikuache ung’atwe na mbu hadi asubuhi sbb
hujui umuhimu wa net.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila nikikupoteza wewe ni pengo
lisilozibika kamwe.