Sms zipi za mchana mwema ni nzuri?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
*MCHANA*
*mwema*
,.*””-.,*,.-””*.,
sms kutoka ndani ya “MOYO” wangu
sehemu ambayo wanakaa wapendwa wangu
kama wewe. nimekumiss
———————————————————
(‘-‘) Unatabasamu
(!.!) Unalia
(‘;’) Una hasira
(‘:’) Kuna mtu amekuboa
(‘.’) Unajivunia
(‘o’) Una hasira
(‘?’) Umechanganyikiwa
(-.-) Unasikia usngz
Napenda kukupa company ukiwa vyovyote🙂
Mchana mwema
———————————————————-
Natumaini utakuwa na siku nzuri kama ulivyo mzuri.
Mchana Mwema
—————————————————————
Mchana ni muda mzuri….
wa kukumbuka watu wazuri
mchana mwema.
————————————
Urafiki ni kama hewa,
Haionekani lakini ipo siku zote,
Mchana mwema rafiki yangu!