Unaweza kushea SMS za majonzi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Sms za huzuni
Tafadhali kumbuka kuwa haupo
peke yako… Tuko na ww daima
——————————————
Ukiwa kwenye Mwanga,
Kila mtu anakufuata.
Lakini
Ukiwa kwenye Giza,
Hata kivuli chako hakikufuati.
Maisha ndo yalivyo.
—————————————
Hakuna kitu kinachouma kama
Kugundua kuwa ana maana kubwa
kwako na ww huna maana yoyote kwake
————————————————
Nataka nisahau mara zote
tulizokuwa pamoja,
Sio kwa sababu simpendi,
Sababu inaumiza sana nikikumbuka
————————————————–
Naamini hautakumbuka kwamba sitasahau.
—————————————————-
UZURI hauleti mapenzi lakini mapenzi yanaleta UZURI;
VUNJA kila kitu lakini usivunje MOYO;
MOYO ni muziki, CHEZA lakini USIUCHEZEE.
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama App